Kama ilivyo kawaida ya wabunge wa chama tawala walivyokuja juu, tunategemea nini kutoka kwao ikiwa baada ya malalamiko yote waliyotoa watashindwa kuwawajibisha mawaziri na waziri mkuu.
AU
Ndio...
Mwalimu amewafuma na kibuti/madesa/nondo kwenye mtihani, sasa wanahangaika kukimeza ili kupoteza ushahidi. Yamewafika shingoni, sisi wananchi ambao ndio wasimamizi wa mtihani tumewaona vizuri...
Prime Minister Mizengo Pinda has cautioned the public against dishonest people deceiving people that national identity cards are sold.
Pinda was reacting to a question from Betty Machangu...
Nachukua fursa hii kuwamwagia pongezi za dhati wabunge wetu wa CCM kwa kuwa mstari wa mbele kutaka mabadiliko ndani ya serikali yetu iliyoingia kwa kura za wananchi. Msirudi nyuma tumieni nafasi...
Ni miaka takribani kumi na ushei hivi aliyekuwa mbunge machachari na baadaye akawa waziri wa kilimo, mara akawa mkuu wa mkoa Tabora amepotea katika uwanja wa siasa.
Ukichunguza kilichomuondoa...
Nakubaliana kabisa na maneno ya member wa JF Lukolo yasemayo:
Hakuna nchi rahisi kuongoza kama Tanzania. Hata mtoto wa darasa la tatu anaweza kuiongoza, ilimradi awe na jeshi tu.
Wabunge wataka ang'oke, nyaraka zaanikwa
Atofautiana na Naibu na katibu Mkuu wake
Alitaka kuwazunguka Mkulo na Dk. Kawambwa
WAZIRI wa Uchukuzi, Omar Nundu, sasa anasubiri hurumaya Rais...
wimbi la kujiunga na Chadema mkoani Arusha limezidi kuongezeka baada ya wenyeviti watano wa vitongoji na wanachama 2,402 wilayani Ngorongoro kukihama chama hicho jana.
Mbali na viongozi hao, pia...
Kama ikishindikana either mawaziri wenye kashfa kujiuzuru au waziri mkuu kujiuzuru ili kuonyesha uwajibikaji basi wewe na wenzio mliothubutu kufanya hivyo akina Karamagi na Msabaha lalamikeni kuwa...
Mbunge Jimbo la Mtera CCM, Mh. Lusinde, ameonekana kukerwa pia na uozo katika baraza la mawaziri, lakini Wanazuoni makini wanadai kuwa ana haki ya kukereka kama Watanzania wengine, lakini baada ya...
Napenda kusema kuwa kwa mujibu wa sheria na taratibu inawezekana Waziri Mkuu kuwajibishwa na bunge kama alivyoainisha Mh. Zito jana. Lakini naomba mniamini kuwa Bunge hili haliwezi kufanya hivyo...
Jana kupitia taarifa ya habari ya ITV, Mhe. Godbless lema alimpokea rasmi CDM diwani aliyesepa CCM huko Mwanza, Pia alichukua nafasi hiyo kumtahadhalisha mkuu wa mkoa wa Arusha na wakubwa wengine...
Nimefatilia safari zote za jk huwa akisafiri huku watu ndo wanafanya maamuzi.
Kashindwa kuwawajibisha mawaziri wake kwasababu ni wezi wenzake= mabest wake tena kwa viremba na humwambii kitu...
Posted on April 19, 2012 by zanzibaryetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala bora, Haji Omar Kheri akifanya majumuisho katika kikao cha baraza la wawakilishi
Serikali ya...
Nimeikuta hii kwenye facebook page yake kuhusu rusha katika mchakato wa ubunge wa Afrika Mashariki.
"Asanteni sana kwa maoni yenu mengi iliyotoa katika Facebook Status yangu niliyoweka juzi...
Wabunge wa CCM msiposaini atapingwa na nguvu ya umma. Kumbukeni hili ni shinikizo tu ili serikali iwawajibishe mawaziri, plz saini kuokoa taifa. Tutakuuliza baadae 2015 kwamba hukuunga mkono vita...
Kwa wale waliopata nafasi ya kumsikiliza GODBLESS LEMA hata mara moja watakubalina na mimi kuwa jamaa ni mtu makini mno hasa anapopanda jukwaani kunadi chama na sera zake..Lema ni mtu mwenye mvuto...
Nadhani wengi tunajua alichokisema mh. z. kabwe jana bungeni alipokuwa anahitimisha hoja ya kamati ya mashirika ya umma. zito alisema anakusudia kukusanya sahihi za wabunge 70 ili aweza wasilisha...
NAPE SOMA MADUDU YA CHAMA CHAKO UKAWAELEZE WENZIO>
CCM na anguko lao wamejitakia wenyewe,( mlimbua inchi ni mwanainchi wenyewe) kusimamia uweledi ni jukumu lao viongozi. Kuna kamati kuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.