Mbunge wa Tandahimba Kuwa muungwana JIUZULU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Tandahimba Kuwa muungwana JIUZULU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pasco_jr_ngumi, Apr 19, 2012.

 1. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hadi leo ni siku wiki mzima watu wanaigana!!!! Wew hauonekani, jiuzulu!!!
   
 2. J

  JokaKuu Platinum Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 11,572
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  ..ahamie Chadema, chama makini.
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,969
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  I stand to be corrected mbunge wa Tandahimba atakuwa ni wa chama cha CUF
   
 4. M

  Malova JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 775
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  Kama hayuko makini akihamia CHADEMA atakuwa mzigo bora abakie hukohuko.
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,827
  Likes Received: 1,273
  Trophy Points: 280
  Ni wa magamba !!! mdomo unanuka kwa kukaa kimya bungeni anachojua ni ku-punch ATM card kwenye machine kuangalia salio kama limeingia. nakushangilia wakati wa kutoka jioni
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Jamani, yupo hapa bungeni kukamilisha posho zake, hao wanauana wasubiri kidogo, akimaliza atakuja
   
 7. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,819
  Likes Received: 1,619
  Trophy Points: 280
  magamba hawana akili,kwenye kura za maoni ya chama chao huyo jamaa alishindwa vibaya na mkuu wa wilaya ya kishapu kwa jina la LUTAVI,LAKINI AKANUNUA KADI AKAPATA USHINDI FAKE MAGAMBA HAYAKUFANYA LOLOTE
  KWENYE UCHAGUZ MKUU AKASHINDWA VIBAYA NA MGOMBEA WA CUF KIJANA MDOGO KABISA ANAITWA KATANI MAGAMBA WAKAIBA KURA,
  HUYO MBUNGE MWENYEWE ANAFAHAM FIKA KUA HAPENDWI NA SIO CHAGUO LAO,WALISHAMCHOMEA MOTO HADI NYUMBA YAKE NDIO MAANA ANAOGOPA KWENDA KULE KUONENAKA NA KUTATUA MGOGORO ULE WA WANANCHI WA TANDAHIMBA..
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  cjakuelewe unamaanisha nini?
   
 9. a

  alles JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 14, 2006
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa Tandahimba Juma Njuwayo (CCM)yeye na chama chake ni sehemu ya tatizo linaloendelea sasa huko. Wananchi hawataki hata kumuona,na hilo analijua ndio maana ametulia Dodomahawezi kuwepo huko kipindi hiki. Fujo za Tandahimba zilianza mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2010 yalipotangazwa. Juma Njuwayo (ccm) alipata kura 34,154 na Mr.Katani Katani (CUF) 33,116. Wananchi wakahisi wameibiwa kura na todate hawamtambui iyo mbunge kama ni halali. Kuanzia hapo wananchi hawamtaki kumuona Njuwayo.Mtu anayekubalika huko ni wa CUF. Hasira za wananchi kutokea kwenye matokeo ya uchaguzi ndio hizo zinazoendelea kwenye zao la korosho, wanahisi wanaibiwa na serikali na chama tawala.
   
 10. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  yap ni ukweli huyo juma yupo hatarini sasa most wanted dead or alive we juma njwao jiuzulu kuliko kuweka maisha yako rehani
   
 11. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Namuonea hurumaaaaaa...... Huyu lijamaa linalopenda madaraka!!!!!!!!!!!!
   
 12. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwanza awasiliane na Zitto.. Ampigishe saini..

  Hayo mengine yafuate..
   
Loading...