Mbowe apigilia msumari

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Anasema kitendo cha uongozi wote wa juu, mawaziri na viongozi serikali kukimbia bunge na kuacha watu watano kwa ajiri ya kulinda nafasi ya chama ni aibu sana. Anasema hiki kitendo ni sawa na kukimbia iikulu na kuwaachia upinzani.

Akasema wananchi wanaona tunavyo pambana. anasema ntawambia watanzania warudi barabarani kwa sababu hapa bungeni hatusikilizwi.

Naomba wananchi waendelee kuweka presha huko mtaani wakati sisi tukiweka presha bungeni.
 
Waziri mkuu na mawaziri wote hawapo, ila wawili tu.
Pia wabunge wa CCM wote wamekacha, wako kwenye Caucus.

Mh Mbowe anasema km wamefikia hatua ya kukimbia bunge, wako tayari kukimbia ikulu na kuwaachia CDM.
Ametoa wito kwa wananchi kuiona hii dharau(kukimbia bunge na kwenda kwenye Caucas) na kuchukua hatua.
 
mbowe amesema, ndani ya mwaka mmoja deni la taifa limeongezeka trioni nne kuja kuisha miaka mitano itakuwa zaidi ya trioni 20 ambazo zitakuja kulipwa na vitukuu wetu. huku tunako enda sio.
 
na maana wanatumia muda na pesa zetu kufanya vikao vya chama... this is ridiculous

Accountability zero hapa na wanakula alawansez tu

CCM is dead and rotten:deadhorse:
 
ujuze kimetokea nin sasa hadi wasifike hapo bungeni?kwa hiyo kikao cha jioni hii hakiendelei?
 
anasema ... wabunge wa ccm na serikali wemeiweka nchi rehani kwa kulikimbia bunge ...wapo kwenye kikao cha party caucus
 
Jamani wabunge na mawaziri wa ccm hawapo! Wameenda kuambiwa waache kuikandia serikali
 
Dua za Lema hizoooo! watajiju ha ha ha! hadi wanaliona bunge kama jehanamu ha ha ha
 
Mh mbowe anatuhimiza tuingieni barabani, jamani tuanze tuache uoga mm niko tayari kuikomboa nchi yangu kutoka kwa hawa wakoloni weusi.
 
juma abdallah anasema msd wanaidia serikali billioni 45.
Mambo ya maandamano maandamo na gasia ni kutokana na serikali kutofanya mambo kwa wakati.
 
Jamani lets be realistic, hivi kweli mtu alikuja asubuhi akasaini kwamba yupo. inamaana posho kaingiza. sasa muda huu hakuna watu zaid ya wapinzani na mawazir 3 tu sasa je hiyo posho kwao kupewa ni sahihi? je hakunaga jinsi ya kuzuia wasipewe iyo posho kama hawaendi kutuwakilisha?
 
Wajemeni mimi nataabishwa sana na hawa wabunge ccm wamekuwa niwakuilalamimkia tu serekali yao na wala hawapati majibu ya kimsingi kuhusu majibu yao!!, sawli langu mimi ni je, hizo kadi za magamba walikabithiwa na mungu na sasa hawamuoni ili kumrudishia!?, kama ni hivyo, hata mbowe atazipokea kwa niaba yake, comeon guys, acheni kupiga kelele, karibuni kambi ya upinzani tuongeze nguvu kama kweli mnapenzi na nchi hii.ty[/COLOR][/COLOR]
 
Mbowe aliposema CCM wako tayari kukimbia hata Ikulu na kuwaachia CDM nimeona Mwanasheria Mkuu na Waziri Mwari jicho limewatoka kama mjusi aliyebanwa na mlango.
 
Back
Top Bottom