Hamieni CHADEMA kabla safina haijafungwa - Godbless Lema.

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Wana jf nimesoma leo kwenye gazeti la Tanzania daima ambapo aliyekuwa mbunge wa Arusha Godbless Lema amewashauri madiwani,wabunge,mawaziri wa CCM wahamie CHADEMA kabla safina haijafungwa.

Lema aliyasema hayo alipokuwa akimpokea diwani wa wilayani Sengerema aliyeamua kukihama chama cha mapinduzi na kujiunga mwa CHADEMA.
 
Wana jf nimesoma leo kwenye gazeti la Tanzania daima ambapo aliyekuwa mbunge wa Arusha Godbless Lema amewashauri madiwani,wabunge,mawaziri wa CCM wahamie CHADEMA kabla safina haijafungwa.Lema aliyasema hayo alipokuwa akimpokea diwani wa wilayani Sengerema aliyeamua kukihama chama cha mapinduzi na kujiunga mwa CHADEMA.
Mkuu, Lema ni kichwa sana. Inabidi watu wote wapande safina mapema otherwise watalia na kusaga meno pindi itakapofungwa.
 
Namshauri kwamab, hiyo safina isiwe zoazoa. Safari bado ni ndefu, wengine wanaweza kujakuwa chanzo cha kuzamisha safina hiyo. Wale wazalendo na wenye uadilifu ndiyo wakaribishwe.
 
Namshauri kwamab, hiyo safina isiwe zoazoa. Safari bado ni ndefu, wengine wanaweza kujakuwa chanzo cha kuzamisha safina hiyo. Wale wazalendo na wenye uadilifu ndiyo wakaribishwe.

Great thinking!
 
Namshauri kwamab, hiyo safina isiwe zoazoa. Safari bado ni ndefu, wengine wanaweza kujakuwa chanzo cha kuzamisha safina hiyo. Wale wazalendo na wenye uadilifu ndiyo wakaribishwe.

nimeipenda sana mkuu kwani umeona mbali.
 
namshauri kwamab, hiyo safina isiwe zoazoa. Safari bado ni ndefu, wengine wanaweza kujakuwa chanzo cha kuzamisha safina hiyo. Wale wazalendo na wenye uadilifu ndiyo wakaribishwe.

ikumbukwe kuwa hata nuhu pamoja na kuchukua aina zote za viumbe alichagua mbegu zile zilizokuwa bora tu !
 
Safina ndoo imekaa mkao wa kutambaa, nafasi ni kwa Wales wenye malengo mazuri kwa watanzania n'a si kwa maslai Yao.
 
Back
Top Bottom