Mawaziri wanalipwa na nani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawaziri wanalipwa na nani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ELIESKIA, Apr 19, 2012.

 1. E

  ELIESKIA Senior Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kabla ya kuwa mawazir walikuwa wabunge nataman kujua walilipwa mishahara na bunge au na wizara zao au wanakula kote kote mishahara mpka posho. nchi hii haiminiki maana posho za jairo wazir alikuwa anakula pia sikujua za bunge kwa wakat mmoja pia alikuwa anakamatia
   
 2. n

  ngaranumbe Senior Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mzee, uwaziri ni ajira na unamshahara wake, mengine ni posho anazochukua hata mara dufu kulingana na majukumu yake mf. akitekeleza majukumu kama yuko kwenye kamati yoyote ya bunge. mbali na yote anamshahara wa mbunge, hapo sawa?.
   
 3. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 1,001
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hujui,kapige msuli.
   
 4. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kama unajua ungesema acha mbovu.
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kujua hayo kwa undani ukifikia nusu ya marupurupu na posho anazopata waziri kutokana na Ubunge na uwaziri (anatwanga kotekote) utazimia wewe manake naona huna kifua cha kufunuliwa hayo!
   
Loading...