Natamani kuskia cheche za mbunge wangu jembe Joshua Nassari mjengoni .... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani kuskia cheche za mbunge wangu jembe Joshua Nassari mjengoni ....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by under_score, Apr 20, 2012.

 1. under_score

  under_score Senior Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Habari za Ijumaa waungwana,

  Nauliza, hivi ni mimi tu ndo sikupata bahati ya kusikiliza kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu bungeni Alhamisi jana, ama ni kweli kwamba jembe langu Joshua Nassari (MB) ndo hajaunguruma bado dhidi ya Waziri Mkuu, maana kama nakumbuka vema wiki iliyopita nilimnukuu mbunbe wangu jembe akisema aliamka saa 12 asubuhi kuwahi kujiandikisha jina kwa ajili ya kumsulubu Waziri Mkuu lakini kwa bahati mbaya hakuweza kupata nafasi hiyo ...
   
Loading...