Kikao cha dharura cha CCM mchana huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikao cha dharura cha CCM mchana huu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by measkron, Apr 19, 2012.

 1. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Baada ya shughuli za bunge kuahirishwa mchana huu, kuna Kikao cha dharura cha CCM.

  My take:
  Inaweza ikawa ni njia mojawapo ya kuwapooza wana CCM walioonyesha kuipinga serikali yao, tutegemee nini kwa michango yao katika Kikao cha jioni bunge litakaporejea?
   
 2. l

  lutome Senior Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wabunge wameamua kuleta mabadiliko ya fikra wakiwa humo humo ccm,hakuna kupozwa wala kunyamazishwa.
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  maneno aliyoongea Tundu Lissu ni mazito sana lazima wakae chini wayajadili.
   
 4. I

  Iramba Junior Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  My friend it to late for CCM kuwahi train
   
 5. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Iwapo watatishwa, watajipambanua wapigania haki na wapigania ufisadi. Na hilo ndiyo uangamivu wao. Si mnasikia Sengerema nako diwani kaachia ngazi? Tunasubi wamalize bunge wengine wajitoe kwa wingi
   
 6. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Nimeipenda hii.
   
 7. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Hili ndilo tatizo kubwa la Nchi yetu. Masilai ya chama mbele ya nchi nyuma. Wanaitwa kunyamazishwa kwa masilai ya chama wakati nchi inatafunwa
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa bado wamelala, tena usingizi wa pono.
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Hiki kiswanglish bana!! Hapa nimetoka kapa!!
   
 10. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  "WATALIJUA JIJI" mwaka huu
   
 11. maphie

  maphie Senior Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tutegemee wabunge hawa kunyamazishwa na kurudi bungeni wakiwa wamelowa kabisa! That is ccm; dawa ni kuiondoa tu
   
 12. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Mbona mboga kabisa


  [​IMG]
   
 13. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kAMA KAWAIDA YAO WANAENDA KUWAPA RUSHWA! CCM INANUKA KWA KWELI
   
 14. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ngoja nijaribu kurekebisha kidogo, maana hizi lugha bwana za wenyewe.

  "My friend it's too late for CCM kuwahi (to catch the)train"
   
 15. M

  MAJANI YA KUNDE JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kawaida yao kuitana faragha mambo yanapokuwa mazito Tundu Mwaga ***** waache wakajikune kimya kimya sisi wapiga kura tupo nanyi mlo namoyo wa ukweli wa uzalendo.
   
 16. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Wakikubali kunyamazisha kama kipindi cha nyuma ndio watakuwa wamepigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza lao...!
  Hata sitegemei jipya sana toka kwao..ka kifupi hawana vifua vya kupambana nao hao 'vingunge' huko kwenye vikao vyao..!
  Wacha tusubiri...
   
 17. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wanaenda kupozana ila bado waCCM wengi wameshakichoka chama maana kimekuwa cha familia ya Kikwete.
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  :msela::msela:

  yamewabana leo!!
   
 19. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  watajibeba!!
   
 20. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Jamani, kwani wewe ni mhaya? Kiswahili kinatosha. Ona sasa English ilivyokung'oa meno.
   
Loading...