Wabunge hawa Wazalendo wa CCM watasaini kutokuwa na Imani na waziri Mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge hawa Wazalendo wa CCM watasaini kutokuwa na Imani na waziri Mkuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgeni wenu, Apr 20, 2012.

 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wana JF nina dhani kama kweli kuna kuweka saini kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu basi hawa wata saini
  Deo Filikunjombe
  Alphaxad Kangi Lugola
  Ali mohaned Kessi
  Weston Zambi
  Esther Bulaya
  Danstan Mkapa
  Kigwangalah ongeza wa kwako toka CCM...
   
 2. B

  Bagram Army Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi sina imani na wabunge wote wa ccm nataka wanikonvisi kwa tendo la kupiga kura.
   
 3. Vegetarian

  Vegetarian JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 80
  Mkuu,hata hao uliowataja tusiwaamini hadi watakapotia saini,chezea magamba weye? Huwa ni maslahi ya chama mbele,utaifa baadaye.
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  hivi anayetakiwa kupigiwa hiyo kura sio vasco da gama?kazi kuzurura tu!
   
 5. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 483
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  mkuu yale waliyokuwa wanafanya yalikuwa maigizo kama wabisha subiri uone kama kunaatakayetia sain!.
   
 6. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Nitawaamini wabunge wa CCM mara nitakapoona sahihi 70 zimetimia ili kumng'oa PINDA na MAWAZIRI wezi, vinginevyo kamwe sitaweza kuweka suluhisho kuwa majina uliyotaja wanawakilisha hisia zetu na wanaweza kutoa ADHABU juu ya SERIKALI isiyowajibika.
   
 7. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  esther bulaya ana uzalendo gani?vuvuzela la ccm tu hilo,kazi yake ni kuishambulia cdm popote anapokuwa
   
 8. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Aisee hawa walikuwa wanafanya usanii,simuamini hata mmoja ila wasipongo'a mtu yeyote leo pia itakuwa credibility kwa cdm..lema atapata ukurasa wa 3003 ktk hotuba zake za M4c
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mbunge pekee wa CCM ambaye naamini ataweka sahihi yake ni Edward Lowasa.
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kama upinzani wote wakisaini jumla ya kura ni ngapi?
   
 11. Vegetarian

  Vegetarian JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 80
  ..na mbunge wa Bariadi,punguza ya mbunge wa Maswa..
   
 12. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kupiga kura ya kutokuwa na waziri mkuu, kwa wabunge wa ccm itakuwa ni sawa na miujiza. Hilo sislitegemei kabisa.

  Lakini angalau wanaweza kujitoa mhanga wakasaini petition, ili walau hoja ifike mezani. Hapo watakuwa wamefanya jambo la mbolea sana ili kikwete ajue kwamba akiendelea kuziba masikio kutokuwawajibisha mawaziri mizigo siku nyengine itakula kwake.
   
 13. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,984
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  Mkuu Nyabhingi ukitaka kuchokoza mzazi wewe piga mtoto, akishaporomoshwa PM huyo Vasco Dagama si atabaki mwenyewe???? Maana atabidi aunde serikali mpya hapo ndipo palipo na utamu, swala la kubana matumizi yatafatia!!!!Mawaziri arobaini kwa nchi yenye mapato kiduchu na makampuni, migodi na viwanda visivyo lipa kodi!!!!

   
 14. Anord Paulo

  Anord Paulo Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hawa wbunge wa ccm hawez kusain wao maneno mengi, kelele nyingi lakin vitendo--------------
  maana nikikumbuka wanapiga kelele na budgeti mbovu pamoja na uchangishaji wa hela kinyume na sheria kwenye wizara ya kishati na madini wabunge wote walipiga kelele lakn cha kushangaza had sasa watuhumiwa ndio kila siku tunawaona bungeni wakati hadi sasa umeme matatizo
   
 15. f

  freduu Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 90
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  mi nasubiri tu yangu macho
   
 16. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wezi wakubwa hawa, mi naona Wananchi tuchukue sheria Mkononi mbona wezi wa kuku tunaweza?
   
 17. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,338
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  Lowasa atasini tu msiwe na wasi mina uhakika.

  source...... Mimi mwenyewe
   
Loading...