Hongera Wabunge wa CCM!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera Wabunge wa CCM!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAFILILI, Apr 20, 2012.

 1. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nachukua fursa hii kuwamwagia pongezi za dhati wabunge wetu wa CCM kwa kuwa mstari wa mbele kutaka mabadiliko ndani ya serikali yetu iliyoingia kwa kura za wananchi. Msirudi nyuma tumieni nafasi hiyo kubadili baraza la mawaziri ili muonekano wa chama chetu miongoni mwa watanzania uwe kama zamani. Hii ni NAFASI adimu kuwapiku CDM!!
   
 2. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wahimize wasaini kumuondoa mzee wa kulia,wanafiki wote tutawaona kwenye move hii,
   
 3. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hivi unadhani hoja hii ni kwa ajili ya maslahi ya Chama?
  Yafaa ukabadili mtazamo wako kuhusu dhana nzima ya hii hoja maana haiwezekani wachache wawe wanatumia pesa za wananchi walipa kodi huku kundi dogo tu la watu wanazitafuna wao na familia zao halafu wewe unafikiria mambo ya kuipiku CDM kimtazamo,nchi hii ni yetu sote si ya chama fulani na maslahi na maendeleo ni yetu sote na kwa pamoja tunaweza kuijenga kama tutaacha kuleana kwa namna ambayo Chama ukipendacho inafanya.
   
 4. babujii

  babujii Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nafasi pekee ya kukijengea sifa na kukubalika chama chetu ni hii Wabunge wa Chama Chetu tuwawajibishe mawaziri wachapa usingizi ili tuwapiku wenzetu wa CHADEMA kwa utambuzi wa madhaifu yanayoporomosha haiba ya chama machoni pa watanzania
   
 5. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Swali La Msingi wamejiandikisha kwenye ile List ya Zitto na kutoa sahihi zao?au Wameishiwa kulalamika kama mchuuzi wa Gulio Katetero?
   
 6. M

  MTK JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Kwa woga na umimi walionao wabunge wa CCM kwa hakika hawataunga mkono hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu; wako tayari kuipga kelele za kufa mtu na ndulu nyingi kuhusu ufusadi lakini kuchukua hatua za makusudi kuukomesha watasita; hili limejibainisha kwa mtu kama Anne kilango ambaye ni hodari kupiga kelele lakini papo hapo kuwazomea makamanda wa chadema wanapojenga hoja. Wabunge wa CCM hapa Zitto amewatega vibaya je mtakiruka kihunzi hicho??!!.
  Kazi kwenu watanzania wanawaangalia.
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  wapeni rushwa kidogo watasaini wamezoea kitu kidogo
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,763
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hahahahha mpaka idadi ya wabunge iwe 70% cdm na ccm iwe 25% ndo mtakuwa na akili timamu!
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,763
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Ndugu zangu wana ccm hv ni kweli sisi tunafurahi usemi wa cdm wa CCM NA PESA CDM NA MUNGU!?
  mi namuomba lukuvi aongee kidogo kuhusu hili!
   
 10. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanasubiri Zitto awahonge ndipo wasaini hovyo sana hawa vilaza
   
 11. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Naunga mkono hoja kwa asilimia zoteeee
   
 12. O

  One Man Army JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  chadema oyeeeeeeeeeeee....
   
 13. k

  kenethedmund JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Acha kujipa matumaini swala sio kutoa hongera, yamezungumzwa mengi lakini kama tunavyojua kawaida ya wabunge wa ccm wao ni kupiga domo lakini ikija kwenye kumuwajibisha mtu wanarudi nyuma. ninachokiona ni kwamba sio kwamba wanauchungu na watanzania bali hasira zao ni jinsi walivyozidiwa kete na mawaziri huku wao wakiachwa matupu bila ya mgao wa ela.
   
 14. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  unanikumbusha ZOEZI LA 8..siku ya gulio katerero
   
 15. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  it'z PEOPLEEEEEEEE..hatutumii salamu iyo ya zidumu fikra za m/kiti
   
Loading...