Nafurahia sana jinsi chama changu kinavyokua hasa katika kipindi hiki cha Mageuzi ya dhati yanayoratibiwa na CDM, wito wangu ni kuwa pamoja na mafanikiwa makubwa ya CDM katika Maeneo mengi, bado...
Nimefanikiwa kupata picha toka Sao Paulo ambapo washikaji wa Jakaya Kikwete walipelekwa kutanua huku taifa letu likiendelea kuteketezwa na mapanya aliowapa uwaziri yeye asijali. Si mawaziri tu...
Nimekuwa nikifuatilia bunge la tanzania kwa muda mrefu sasa tangu zama za spika sitta hadi sasa anne makinda a.k.a bi chau.nimegundua mapungufu mangi sana,lakini moja wapo lililo kubwa zaidi ni...
Familia ya kifalme hutawala kwa umoja, yaani baba, mama, watoto nk. Mfalme huwa ni mwakilishi tu wa mawazo ya familia katika jamii. Hivyo ndilivyo ilivyokuwa CCM kabla ya kujivua gamba (king...
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama, Edward Lowassa, yuko bize na saini 70 za kumuondoa Pinda na sasa hotuba yake inasomwa na Makamu wake Mbunge wa...
Leo ndio nimepata majibu kwa nini Godbless lema alivuliwa ubunge. Chopa aliyopewa na chama ndio kifo cha ccm. Kujivua gamba kwa wanachama, viongozi na madiwani wa ccm na kuhamia chadema nikutokana...
Ndugu watanzania, Mabibi na mabwana.
Jambo alilianzisha Ndugu Zitto ni nafasi nyingine ya kurejesha uwajibikaji Serikalini kwa ajiri yetu na kizazi kijacho. Nafsi kama hii ilikuja 2008 na...
Pendekezo la LISU kuwa kuna haja ya kumchukulia waziri Mkuu hatua na hatimaye likaafikiwa na ZITO kwenye Majumuisho ni zuri linapaswa liungwe mkono na WABUNGE wote wenye MAPENZI mema na NCHI hii...
ndugu wadau, nimefatilia tunavyosemwa na waandishi wa habari wa nchi jirani especially kenya mpaka naanza kukosa uvumilivu na regime tuliyonayo. yaliyoandikwa humo yana ukweli kwa kiwango kikubwa...
Kuendelea kuwatetea Watz kwa maneno matupu ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa!. Kwa Watz hata upige makelele kama mtu aliyefiwa hakuna wa kukuelewa na mwisho ukipoteza Ubunge au wadhifa wako hakuna...
Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa
"Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko".
Majority ya wana CCM ni wala rushwa, ni waongo na fitina kwao ni jadi. Mnasemaje wenzangu?
Jamani naomba mchango wenu hili ni muhimu kwa mstakabali wa taifa hili...! naombeni waliopiga thread ya mwanzo wapige hapa pia maana ile ya mwanzo ilikuwa na makosa typing errors! Tuko pamoja!
Jamani naomba mchango wenu hili ni muhimu kwa mstakabali wa taifa hili...! Moderator naomba uunganishe hii na ile ya mwanzo hii ina typing error na naomba waliopiga kura hapa wapige kule
Mgomo wa Madaktari ulinyamazishwa bila ya hatua kuchukuliwa kwa W, NW na KM, Nini kifanyike sasa?
Uzalendo ulinde maslahi ya Taifa, Bunge likupige kura ya kutokuwa na imani kwa Rais
Wananchi...
Taarifa hii imetumwa kwenye Mjengwablog.com na Mtanzania aliye UK.
Mwenyekiti,
Hapa UK kuna kampuni moja mimi nasema ni ya kitapeli kwani bila shaka imeanzishwa na wakubwa fulani kwa manufaa...
Ndugu zangu,
Leo asubuhi wakati nikifanya ' jogging' kwenye mitaa ya Dar es Salaam niliwasikia watu wa kawaida kabisa wakijiuliza na kujadili; " inakuwaje Serikali iwalipe marehemu mishahara...
Wabunge mnachaguliwa ili muwatumikie wananchi mnajipendekeza kwa mawaziri tu.
Zitto kaanzisha hoja ya kuwaondoa nyie mnakwepa kwepa tu ,sasa kwa maendeleo ya nchi kuwa nyuma Bunge ndo lilaumiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.