CCM waanza vitisho kwa wanaokihama chama

GEMBESON

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
1,444
3,084
Jana kupitia taarifa ya habari ya ITV, Mhe. Godbless lema alimpokea rasmi CDM diwani aliyesepa CCM huko Mwanza, Pia alichukua nafasi hiyo kumtahadhalisha mkuu wa mkoa wa Arusha na wakubwa wengine waache vitisho kwa kina Millya na wana ccm wanaohamia CDM. Alitoa mkwara kuwa kama CCM ina polisi basi CDM ina Peopless!
Mytake: Walituambia walikuwa mzigo Kumbe bado wanawahitaji?
 
CCM ni wafa maji. Hakuna namna ya kukikwepa kifo chao 2015.
 
where is vitisho hapo?
 
CCM ni wafa maji. Hakuna namna ya kukikwepa kifo chao 2015.

Mkuu umenikumbusha kauli ya Joseph Butiku : 'binadamu akiizeeka, kifuatacho ni kifo; Sisiem imezeeka, kwa hiyo tunategemea kifo kwa chama chetu cha Sisiem'.
 
Kweli kabisa mkuu, CCM ni deadbody.
 
Jana kupitia taarifa ya habari ya ITV, Mhe. Godbless lema alimpokea rasmi CDM diwani aliyesepa CCM huko Mwanza, Pia alichukua nafasi hiyo kumtahadhalisha mkuu wa mkoa wa Arusha na wakubwa wengine waache vitisho kwa kina Millya na wana ccm wanaohamia CDM. Alitoa mkwara kuwa kama CCM ina polisi basi CDM ina Peopless!
Mytake: Walituambia walikuwa mzigo Kumbe bado wanawahitaji?

Jana nilirudia ile documentary ya maandamano tar 5 January,nimezidi kupata hasira na hawa polisiNadhiri niliyoiweka moyoni mwangu na Mungu wangu ipo siku itatimia
 
CCM ni sawa na Mwanamke mzee....

Mwanamke mzee a.k.a ajuza a.k.a kikongwe hata ajipige vipodozi kiasi gani hawezi kurudia urembo wa zama zake. Hata ajidunge sindano za kuongeza makalio hatakuwa na mvuto kama wakati kijana. Na ndio kwa CCM kamwe haiwezi kuwa na mvuto wa enzi za baba wa Taifa, kifuatacho ni kifo
 
CCM ni mama wa uongo
Jana kupitia taarifa ya habari ya ITV, Mhe. Godbless lema alimpokea rasmi CDM diwani aliyesepa CCM huko Mwanza, Pia alichukua nafasi hiyo kumtahadhalisha mkuu wa mkoa wa Arusha na wakubwa wengine waache vitisho kwa kina Millya na wana ccm wanaohamia CDM. Alitoa mkwara kuwa kama CCM ina polisi basi CDM ina Peopless!
Mytake: Walituambia walikuwa mzigo Kumbe bado wanawahitaji?
 
Vitisho gani mbona havionekani. Millya atishwe kwa ajili gani? Mbona Hana ushawishi wowote hapo Arusha. Hata diwani aliyehama ccm hivi karibuni amesema hakumfuata Milla na kwamba ilikuwaje shame siku nyingi Kama alivyowahi kijana TLP kwenda CCM.
 
Back
Top Bottom