Bungeni live: kamati ya nishati na madini

Hivi leo huyu mama Makinda yupo Bunge litaendeshwa salama kama jana kweli? maana jana Naibu Speaker alikuwa very fair kwa kweli maana inaonekana na yeye anakerwa na mambo haya! wabunge wa CCM waliwasha mtoto kweli kweli, lakini utekelezaje upo ?
 
Ee bwana Eeeeh! Duh! Hii Arusha Mambo FM naipata clear kabisa hapa ofisini!
 
Mtoto wa mfanyabiashara ajikanyaga juu ya swali la matusi kwenye uchaguzi
 
Mama ameshaanza ubabe! mimi ni CCM damu lakini huyu mama simpendi kabisa! hatendi haki Bungeni !
 
Mbona ni maswali na majibu kwa PM na swali la kwanza limeulizwa na KUB?

KUB kwa waziri mkuu safi lakini siku ile watu wanaonyeshana umwamba wa Kizungu kwa kuwauliza maswali wagombea wa EALA sikumsikia akiuliza swali japo alikuwa akipaishwa na wagombea. Nilimsikia Mr. II akiuliza.
 
Ee bwana Eeeeh! Duh! Hii Arusha Mambo FM naipata clear kabisa hapa ofisini!

Haka karedio kamakuwa kakombozi kweli manake unachapa kazi huku unapata taarifa mbalimbali hata ukiwa umebeba box kwenye masikio unaweka kinasa unapata habari.

Market penetration ya hii Arusha mambo ni kiboko nadhani imepata wasikiliza wengi ghafla.

Huyu waziri Mkuu naye eti PIGA GEUZA!
 
Back
Top Bottom