Shangaeni kichekesho hiki cha magamba! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shangaeni kichekesho hiki cha magamba!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chaimaharage, Apr 20, 2012.

 1. Chaimaharage

  Chaimaharage JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwalimu amewafuma na kibuti/madesa/nondo kwenye mtihani, sasa wanahangaika kukimeza ili kupoteza ushahidi. Yamewafika shingoni, sisi wananchi ambao ndio wasimamizi wa mtihani tumewaona vizuri sana. Jumatatu inatakiwa ieleweke either wanabaki shuleni au wafutiwe matokeo ili wapewe nafasi ya kuendelea na shule hadi mtihani mwingine.

  Hivyo basi taarifa tulizonano ni kwamba wako wanafanya njama za kuahirisha bunge ili hata zile siku walizo omba kuongezewa bila malipo kumaliza kazi zisiwepo. Kwa hiyo tunawauliza hivi mbona mambo yako hadharani? tumewakamata na madesa kwenye mtihani hamna namna ya kukwepa adhabu. Toeni ushirikiano kwa kutupatia sahihi zenu ili adhabu yenu ipungue muendelee na shule. Msipo angalia hata hiyo shule mtaikosa.
   
 2. Young Tanzanian

  Young Tanzanian JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,740
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nguvu ya umm ni nguvu ya mungu..
   
 3. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanajisumbua na kujiumbua
   
 4. h

  hans79 JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Mnyonge mnyongen haki yake mpeni,walizoea kutudhurumu watz wenzao sasa haki itatendeka tu hata kama itachelewa.
   
Loading...