Lusinde naye kakasirika lakini tukimaliza hili inafuata kesi yake

EDOARDO

Senior Member
Oct 4, 2010
115
13
Mbunge Jimbo la Mtera CCM, Mh. Lusinde, ameonekana kukerwa pia na uozo katika baraza la mawaziri, lakini Wanazuoni makini wanadai kuwa ana haki ya kukereka kama Watanzania wengine, lakini baada ya kungo'a baraza la mawaziri na yeye atashitakiwa kwa kosa la kuporomosha matusi hadharani kule Meru.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom