Automaticaly this decission by the chama cha mapinduzi was inevitable and this marks the failure of Zito's efforts a thing which bring a second successful step to Zito and his followers who'll...
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Sefue amefanya kikao cha siri na speaker Anna Makinga na inasadikiwa kupanga mikakati ya kuvuruga presha ya wabunge wasiisulubu serikali.
Pichani Katibu Mkuu Ofisi...
Naangalia bunge wakat huu sion wabunge wa CDM pamoja hata na kiongoz wa upinzani bungeni kuna nn au mgomo au kikao cha dharura kuhus PM. wenye taarifa watujuze
...sijashangazwa hata kidogo na maamuzi ya makinda (iwe anaruhusiwa kisheria au la). Najua jambo moja: ccm imeharakishiwa kifo chake. Jana kulikuwa na vikao kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha na...
Cheche huzaa moto.
Nadhani, mbali na mambo mengine, hukumu mbovu ya Mwakibarila imechangia wananchi kuzidi kuichukia CCM. Inawezekana CCM waliweka mkono wao ili Jaji atende alivyotenda bila...
TCU wameto tangazo la udahili kuanza lakini mpaka leo kuna baadhi ya LINK azifunguki. kwa mfano REGISTER LINK ya diploma ya ualimu,hili ni tatizo la siasa kuangilia kila kitu sasa na wenyewe...
Wakuu kuna Rafiki yangu amenitonya kwamba, Rafiki yake ambaye ni mtoto wa Kigogo mmoja ameitwa na Baba yake ghafula leo asubuhi na inasemekana amapewa majukumu ya kusimamia kubadili majina ya...
Nchi yetu ni business as ussual wabunge watajadili sana lakini hakuna hatua zozote zitakazochuliwa pinda ataendelea kuwepo mawaziri wote pamoja na mkulo wataendelea kuwepo na kula nchi kama...
Nimevutiwa sana na maneno ya kishujaa ya huyu Mbunge dhidi ya chama chake, anasema:
"At this rate i will not be surprised if CCM was defeated, and victory will only be delivered by divine...
Wakuu nina masikitiko moyoni baada ya kuisoma kwa undani ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali na ile Ripoti ya Mh. ZITTO pamoja na zile nyaraka muhumu ambazo Mh. Zitto anazo kuhusu uzwaji wa maeneo...
Kwani si kweli Imeandikwa siku sita tumtumikie Kaizari na siku ya saba tumpe Mungu,je nihaki Tanzania kuiweka siku ya jumapili kuwa siku ya kupiga kura?.wana hakika gani ni Wakristu wangapi...
Kwa wale ambao hawakusikiliza ni wakati muafaka wa kujua nini wabunge hao walikisema dhidi ya mawaziri ambao wanatuhumiwa kwa wizi.
Ni ushujaa wa kipekee kwa kijana Filikunjombe ukizingatia yeye...
LIVE:
ili kusikiliza tembelea www.arushamambo.com click ''Sikiliza Arusha Mambo FM....'' ili kusikiliza,
tutafurahi ukituunga Mkono kwa ku ''Like'' Radio yetu kwenye Tunein Page baada ya...
Nawaletea taarifa hizi ambazo zimezagaa kwenye ofisi ya Spika na katibu wa Bunge kuwa huenda ratiba ikafupishwa na kesho jumamosi ikatolewa hoja ya kuliahirisha Bung kabla ya wakati ili kuilinda...
Huwa najiuliza ivi Pinda akipigwa chini does that mean baraza la mawaziri lote limepigwa chini au wao wanaendelea na majukumu?
Msaada wa interpretation pls
MHE KABWE Z. ZITTO – MWENYEKITI WA KAMATI YA HESABU ZA MASHIRIKA YA UMMA:
Mheshimiwa Naibu Spika, na mimi nawashukuru Waheshimiwa Wabunge wote ambao wamechangia katika hoja hii na kutokana...
Mama Mheshimiwa Spika Anna Makinda,nikiwa raia mtanzania na mpenda ukweli,sina uhakika kama utapata wasaa au hata kama huwa unapata muda wa kupita ndani ya hii JF,ingawa nina uhakika huku si...
HATMA ya mawaziri watano wanaotuhumiwa kwa ubadhirifu wa mali ya umma sasa iko mikononi mwa Rais Jakaya Kikwete, kufuatia hatua ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi kutaka watendaji hao wajiuzulu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.