Wabunge wa ccm hawakupewa kitu kidogo na mawaziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa ccm hawakupewa kitu kidogo na mawaziri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kenethedmund, Apr 20, 2012.

 1. k

  kenethedmund JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama ilivyo kawaida ya wabunge wa chama tawala walivyokuja juu, tunategemea nini kutoka kwao ikiwa baada ya malalamiko yote waliyotoa watashindwa kuwawajibisha mawaziri na waziri mkuu.

  AU

  Ndio imekuwa kama kawaida kwao kwamba wanapiga kelele simply because hawakupewa kitu kidogo, na je wakipewa wataweza kuungana na wabunge wa CHADEMA kuwawajibisha waliohusika na ubadhirifu huu wa mabilioni ya wananchi.

  Tafakari!
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,818
  Trophy Points: 280
  ....Wakipewa mshiko mnene na Serikali fisadi iliyoko madarakani basi wataingia mitini kimya kimya bila hata kutia neno ya kile kilichojiri. Asilimia zaidi ya 90 ya Wabunge wa Magamba ni wasanii tu ambao wameweka mbele matumbo yao zaidi badala ya maslahi ya Tanzania na Watanzania.
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  wachumia matumbo hao
   
 4. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huu mtego Zitto aliotumia utawaumbua wabunge

  wengi wa magamba tusubiri tutaona mengi na

  tutamwomba Zitto atupe majina ya waliosaini
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Majina nashauri yabaki confidental..may ishu nyingine ika_ occur afu wataogopa kuunga mkono ki vote kama vote yenyewe itakuwa release
   
Loading...