Kwako Mh.Lowasa

Chaimaharage

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
211
78
Kama ikishindikana either mawaziri wenye kashfa kujiuzuru au waziri mkuu kujiuzuru ili kuonyesha uwajibikaji basi wewe na wenzio mliothubutu kufanya hivyo akina Karamagi na Msabaha lalamikeni kuwa mlionewa. Mbona wengine wanalindwa ninyi mlitupiliwa mbali?
 
Back
Top Bottom