JK kaenda kumzika rais huku wabunge wanaizika serikali yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK kaenda kumzika rais huku wabunge wanaizika serikali yake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Apr 20, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nimefatilia safari zote za jk huwa akisafiri huku watu ndo wanafanya maamuzi.

  Kashindwa kuwawajibisha mawaziri wake kwasababu ni wezi wenzake= mabest wake tena kwa viremba na humwambii kitu.

  Waneuwa watanzania wengi lakini wapo, eti wanachunguza madudu yao naweza kujaza server hapa hata mtoto sikuhizi anapenda akiwa mkubwa awe fisadi.

  Nashukuru kwa kuwa unajua wafu huzika wafu wenzao umeenda kuosha nawe unaoshwa
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ulitakaje?
   
 3. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Aje ashike jeneza angalau aage marehemu kabla ya kukata roho ili aampe angalau nasaha za mwisho
   
 4. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ana MIWANI ya jua, macho yake hayaoni rangi halisi
   
 5. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  sikio la kufa hilo........
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Hueleweki ulichotaka kusema kichwa cha habari na habari yenyewe vinasigana.......gongo za asubuhi mbaya sana ni afadhali gongo iliyonywewa jana jioni
   
 7. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Sahihi 52 tayari
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Kwa taarifa yako mwezi huu amehudhuria misiba hii mapaka sasa:
  1. Kanumba
  2. Mzee Mahundi
  3. Gen Kyaro
  4. Mzee Mutharika
  5. Brig Mwakanjuki
   
 9. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,075
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180
  Masikhara hayo,nisijeacha office na kwenda zangu kupata bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiid
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Bunge linatimiza majukumu yake kama mhimili na hilo halimzuii Rais kutekeleza majukumu yake.
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mama anapomwadhibu mtoto , haimzuii baba kuangalia Tv.
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ni kiongozi, binadamu na mpenda watu, sasa kama wewe ukiwa kiongozi hutashirikiana na watu wengine utakuwa ni Rais-Mungu. Hii thread haina mashiko.
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mkuu ulitaka naye akapige kura bungeni nini? kaz kweli kweli.
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Anawapenda watu wakishakufa sio?
   
 15. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  sijui labda itakuwa ni utakaosababishwa na kura 70 za zito.
   
Loading...