Tue, Apr 24th, 2012
Arcado Ntagazwa
A former minister, Arcado Ntagazwa (65) and two others on Monday appeared before the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam charged with...
Tuwasihi makamanda wanaotaka mabadiliko TZ kama Lema au Zitto wanzishe maandamano kila ijumaa kama tahrir square hadi serikali au viongozi "mafisadi" wawajibishwe. Watu watakapo zidi kusikia...
Prof.Lipumba ameongea na waandish wa habari leo na kubainisaha haya"Kwa ushahidi wa wananchi, polisi walivamia duka la kijana mmoja anayeuza mafuta ya taa, dizeli na petrol, walianza kuchukua...
"Natural Resources and Tourism minister Ezekiel Maige was again in the firing line here yesterday over what Members of Parliament described as deliberate mishandling of procedures governing...
Watanzania tumeshuhudia TUME nyimgi zikiundwa na Marais. Nakumbuka Raisi Mwinyi aliunda Tume ya Maoni ya Wananchi kuhusu Vyama Vingi. Na matokeo yake tulielezwa na yakafanyiwa kazi.
Rais Mkapa...
Watanzania wenzandgu, samahani kwa usumbufu!
Swali langu ni moja tu, Hivi kuna faida yoyote tunayoipata sisi kama raia wa TANZANIA kutokana na safari za rais :A S angry:??????
ahsanteni sana..
Ndugu Wadau. Kila ninapowaza sipati jibu juu ya Nani ajiuzulu katika sakata hili la Rushwa, Ufisadi na Ufujaji wa mali za watanzania.Nadhani wa kwanza kuachia kazi ni JK mwenyewe ambaye hawezi...
Mnyonge Mnyongeni, lakini haki yake mpeni.
Katika kikao cha saba cha bunge lilohitimishwa jana, kamati yake ya Hesabu za serikali a mitaa ilitoa ripoti moja nzuri sana juu ya ubadhirifu mkubwa...
Haya ni Maneno yaliyotamkwa na Mwalimu JK Nyerere (RIP) hapo zamani, akimsuta Mkapa kwa sera zake mbovu. Alisema watauza hadi Ikulu.
Sasa yanayoendelea kutendeka hapa nchini ni kutimiza unabii wa...
Chama Cha Mapinduzi, mmekuwa mkifanya makosa sana ya kudhani adui wenu ni wapinzani. Kutokana na kufikiri mkiwa ndani ya sanduku mnadhani njia ya kudhoofisha upinzani ni kuwakwamisha kwa kuwazulia...
Heshima kwako mwanaJF!
Napenda kutoa taarifa kwa wale wanachama/wafuasi wa CDM wanaoishi/wanaotoka wilaya ya Lushoto kwamba kutakuwepo na operesheni kabambe ya kienezi tunayotarajia kufanya kabla...
Siwezi shangazwa na tabia ya serikali iliyoko madarakani kuendelea kufanya makosa na kutowajibika kwa viongozi husika. Hii inanikumbusha habari za wana wa Israeli walipokuwa utumwani enzi...
I happened to pass here..
allAfrica.com: Tanzania: Tanesco to Spend 10 Billion - to Electrify Bukoba Rural
and it says
"Bukoba THE Tanzania Electric Supply Company (Tanesco), has earmarked...
Wanajf asalam, hivi huu utaratibu wa kupitisha hoja kwa kusema wanaoafiki waseme ndio na wasioafiki waseme sio. Jana mama ana semamba kawaonea waliosema sio kwa ajili ya kukataa kuahirisha kikao...
Cdm tumeshinda uchaguz wa mwenyekiti wa kijiji cha Burifan kwa mgombea wetu ndugu.DEOGRATIAS LAURIAN Kupata kura 401 uku mgombea wa ccm ndugu mathias kibarwiga akipata kura 129 na Mgombea wa TLP...
SIKU chache kupita tangu kuibuka kwa Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa, MRISHO GAMBO, kumtaka aliyekuwa Mwenyekiti wa (UVCCM), James Millya kurudisha fedha za SACCOS ya jumuiya hiyo, Sh. Milioni 2...
Jana nilicheki kikao cha kuairisha bunge lakini jinsi spika alifunga bunge kwa kuuliza"Wangapi wanataka binge liairishwe na wangapi wasio afiki bunge kuairishwa moja kwa moja waliokataa bunge...