Mrisho gambo aumbuliwa hadharani kumbe hajui anachokisema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mrisho gambo aumbuliwa hadharani kumbe hajui anachokisema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ngurdoto, Apr 24, 2012.

 1. n

  ngurdoto Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  SIKU chache kupita tangu kuibuka kwa Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa, MRISHO GAMBO, kumtaka aliyekuwa Mwenyekiti wa (UVCCM), James Millya kurudisha fedha za SACCOS ya jumuiya hiyo, Sh. Milioni 2, Katibu wa Umoja huo amekanusha madai hayo na kusema UVCCM haijawahi kuw ana mradi wa SACCOS.

  Katibu wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Arusha, Abdallah Mpokwa, amesema hayo jana mjini hapa alipokuwa katika kikao cha kamati ya utekelezaji Baraza Kuu la UVCCM, Mkoa wa Arusha, kilichojumuisha Wenyeviti na Makatibu wa wilaya zote za Mkoa wa Arusha.

  Mpokwa pia alikanusha suala la Millya kutakiwa kukabidhi ofisi mara alipoondoka na kujiunga na CHADEMA ambapo alisema Millya, kisheria hakuwa na ofisi ila alikuwa na kazi ya kufungua mikutano na vikao ila kikanuni za umoja wao Mtendaji na mwenye ofisi ni KATIBU, hivyo tuhuma hiyo haimuhusu Millya.

  “Ninachosema haya matamko yanatolewa na watu tusiowatambua katika UMOJA wetu, huyu GAMBO alishafukuzwa katika kikao chetu tulichofanya LONGIDO na hatumtabui anatoa matamko kama nani,”alihoji MPOKWA.
   
 2. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Mrisho Gambo ni 'gamba mtoto'
   
 3. M

  Makupa JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Sasa akizeeka atakuwa nani mkuu
   
 4. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Atapukutika na kubaki mifupa mitupu
   
 5. m

  mahoza JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 1,242
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180
  Wenyewe kea wenyewe wanagombana. I luv dis song.
   
 6. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  gambo ni ***** kama mume wake nape, alikuwa wapi kusema hayo....arudi shule kumaliia sup alizopata
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Aibu aibu aibu!
  Tena aibu ya ukubwani!...pyeeeeeeeeee!
   
 8. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Paukwa pakawa, katokea chanjagaa, kajenga nyumba kakaa, kijino kama kijiti............ Hadithi hadithi, hadithi njoo, uongo njooo tamu kolea!!!! Wataumana mpaka wamalizane!!! Hebu Andika Gamba badala ya Gambo!! Gamba ni Gamba tu ukitaka kuliondoa ni lazima usugue kisigino na jiwe lenye makali!!
   
 9. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mrisho bado ana mawenge ya kupigwa chini kwenye bunge la Afrika Mashariki, tumsamehe jamani
   
Loading...