Jamani huyu mtu siyo mwoga ila hana nafasi ya kufanya maamuzi. Yeye siyo appointing authority. Lawama ziende kwa mwenye sura nzuri (JK) na mpiga chenga za Maradonna.
hapa tunaangalia mfumo,hakuna mtu msafi mwenye akili na utashi anayeweza kuutumikia mfumo wa uoza.PINDA usafi wake hatuwezi kuuona hadi atakapokata shauri arudishe ofisi arudi kwenye mashamba yake,eti mtoto wa mkulima!
Hebu waambie bwana! Sura ya mtu ina uhusiano gani na utendaji wake? Hata mie natamani ningekuwa na sura nzuri lakini ndo nshazaliwa hivi, nafanyaje? Tuacheni na sura zetu! Kosoeni utendaji wa mtu, kazi ya Mungu iacheni kama ilivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.