Kwa wanachama na wafuasi wa cdm-wanaoishi/wanaotoka wilaya ya lushoto

Mbelwa Germano

JF-Expert Member
May 7, 2011
789
289
Heshima kwako mwanaJF!

Napenda kutoa taarifa kwa wale wanachama/wafuasi wa CDM wanaoishi/wanaotoka wilaya ya Lushoto kwamba kutakuwepo na operesheni kabambe ya kienezi tunayotarajia kufanya kabla wa mwezi wa 8. Hivyo kama mdau wa M4C tunakuomba kushirikiana nasi kuwezesha zoezi hili. Tunaamini kabisa wilaya ya Lushoto inaweza kuwa chachu wa fikra za mabadiliko kwa Mkoa wa Tanga.

Zingatia: Lushoto kuna majimbo matatu, Lushoto, Mlalo na Bumbuli. Jipe moyo kwa pamoja tunaweza, wasiliana nami kwa simu namba 0714 311 164 ili kuweza kujiunga na timu ya wapambanaji.

M4C+PEOPLE'S POWER=HAKIKA TUTASHINDA!
 
mimi concern yangu ni hilo jimbo la bumbuli,naomba mjitahidi sana huyu kilaza makamba 2015 asionekane tena huku bungeni
 
That is Great Newz, Sisi tumesha anza kufanya movement and thounds of youth ni wana CDM, huwezi amini but that is reality na tutakupa mchango wa kutosha, Lushoto imebadilika, big up na karibu sana
 
Kwa nguvu ya uma inawezekana to change a monkey into another Tree, msingi upo na ni vijana na changamoto la kila siku la taifa letu, Tupeana moyo we can do, kwani wengine wamewezaje
 
Heshima kwako mwanaJF!

Napenda kutoa taarifa kwa wale wanachama/wafuasi wa CDM wanaoishi/wanaotoka wilaya ya Lushoto kwamba kutakuwepo na operesheni kabambe ya kienezi tunayotarajia kufanya kabla wa mwezi wa 8. Hivyo kama mdau wa M4C tunakuomba kushirikiana nasi kuwezesha zoezi hili. Tunaamini kabisa wilaya ya Lushoto inaweza kuwa chachu wa fikra za mabadiliko kwa Mkoa wa Tanga.

Zingatia: Lushoto kuna majimbo matatu, Lushoto, Mlalo na Bumbuli. Jipe moyo kwa pamoja tunaweza, wasiliana nami kwa simu namba 0714 311 164 ili kuweza kujiunga na timu ya wapambanaji.

M4C+PEOPLE'S POWER=HAKIKA TUTASHINDA!

ONGEA MKUU,NZAKUPATA VYEDI. Eka tite kwe ndim mwenga du.PEOPLES POWER,KAMATA MWIZI MEEN!
 
ONGEA MKUU,NZAKUPATA VYEDI. Eka tite kwe ndim mwenga du.PEOPLES POWER,KAMATA MWIZI MEEN!

Wewe unaongea kilugha umeona jina la Mleta Mada? Kama anaelewa basi vizuri...........jina hilo ni la Tanzania magharibi mwa ziwa victoria kaskazini.( Geography nilichemkaga mwana ma - direction yananisumbua kuyalocate!!)
 
jamani chadema ndio suluhisho sahihi la mafisadi, nashangaa lushoto wanavyo mng'ang'ania mzee shekifu, mtu ambaye amefirisika kimawazo.
 
Sawa CDM, kazeni msuli. Si mnajua Tanga haina mbunge mpinzani hata mmoja? Mna kazi kubwa mbele yenu
 
Hapo ndio mmeanza mambo ya maana. Lushoto tipo mzcee, tulikuwa twangoja kupima upepo wa kanda ya kaskazini. CDM kazha msui tu
 
Wakuu, tunahitaji kuweka database ya Wanachama/Wafuasi wa CDM lushoto kwa ajili wa kuratibu shughuli za chama, hivyo naomba mtumie namba hii 0714 311 164 ili kupata majina yenu. Pia unaweza kutembelea Facebook (CHADEMA LUSHOTO) nitaweka link ya facebook na blog ya CDM LUSHOTO mapema iwezekanavyo.

Naomba Ushirikiano wenu.
M4C+PEOPLE'S POWER=HAKIKA TUTASHINDA!
 
Wewe unaongea kilugha umeona jina la Mleta Mada? Kama anaelewa basi vizuri...........jina hilo ni la Tanzania magharibi mwa ziwa victoria kaskazini.( Geography nilichemkaga mwana ma - direction yananisumbua kuyalocate!!)

Tuache ukabila M4C kwanza! Mimi ni mzaliwa wa Tanga wilayani Lushoto, kijiji cha chakechake, kitongoji cha Jegestali, Kagera ni BUBERWA, Tanga ni MBELWA, tuungane kwa pamoja kamanda ukanda hauna tija.

M4C+PEOPLE'S POWER=HAKIKA TUTASHINDA!
 
Tuache ukabila M4C kwanza! Mimi ni mzaliwa wa Tanga wilayani Lushoto, kijiji cha chakechake, kitongoji cha Jegestali, Kagera ni BUBERWA, Tanga ni MBELWA, tuungane kwa pamoja kamanda ukanda hauna tija.

M4C+PEOPLE'S POWER=HAKIKA TUTASHINDA!

Hapo ukabila hakuna bali wasiwasi wangu ilikuwa kama ulichoelezwa kwa kilugha umeelewa. Basi. Mbelwa kagera ni wengi na maana yake ni "Mbarikiwa" Ubarikiwe pia kwa kazi hiyo
 
Naweza pia kusaidia katika dadabase ya ya wanachama, hii ndo stategic kubwa sana ya kuanza nayo then mmoja baada ya mwingine kuhakiki kajiandikisha na kwenda kupiga kura lazima tusone mbele please keep in touch, mlioko miji tunawategemea na kwa kua sisi tupo huku mtupe support
 
Sehemu nyingi wanasubiri Chadema ifike, kuna baadhi ya vijiji kama Irente watu wamebadilika, kuna kero mbalimbali mfano maji hawana na wametoswa na ccm kwa kipindi cha miaka 50 ya uhuru, wamependekeza cdm iwe solution lakini wahache wanaanza kufanya michango walau kuona kama tunaweza ku reset hudumu muhimu kwa jamii kama vile maji, wendi wamechoka kama ambavyo wataanzania wamechoka pia, walio mbali na Lushoto tunahitaji support yenu
 
tuache ukabila m4c kwanza! Mimi ni mzaliwa wa tanga wilayani lushoto, kijiji cha chakechake, kitongoji cha jegestali, kagera ni buberwa, tanga ni mbelwa, tuungane kwa pamoja kamanda ukanda hauna tija.

M4c+people's power=hakika tutashinda!

nashukuru umemjibu huyo mkabila,mwisho wa mwezi nitakukabidhi.lushoto kwa mabadiliko ya kweli kupitia m4c inawezekana kupata uhuru wa pili uhuru wa kweli.keep it up mbelwa.
 
Kazeni buti wakuu hayo majimbo matatu ya Lushoto yanatosha 2015 baada ya hapo majimbo mengine watafuata kwa kujifunza kutoka kwenu.
 
Back
Top Bottom