Utaratibu wa kupitisha hoja bungeni unanikera sijui wewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utaratibu wa kupitisha hoja bungeni unanikera sijui wewe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by msambaru, Apr 24, 2012.

 1. m

  msambaru JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Wanajf asalam, hivi huu utaratibu wa kupitisha hoja kwa kusema wanaoafiki waseme ndio na wasioafiki waseme sio. Jana mama ana semamba kawaonea waliosema sio kwa ajili ya kukataa kuahirisha kikao ili wambandue pinda na masela wake. Napendekeza kuwe na kura ya siri coz ht magamba yalikuwepo yaliyotaka kuongeza muda ila due to their incompitence wakagwaya wasijetimuliwa chamani wakawa useless.
   
Loading...