Nionavyo Mimi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nionavyo Mimi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwangulileufwike, Apr 24, 2012.

 1. M

  Mwangulileufwike Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu Wadau. Kila ninapowaza sipati jibu juu ya Nani ajiuzulu katika sakata hili la Rushwa, Ufisadi na Ufujaji wa mali za watanzania.Nadhani wa kwanza kuachia kazi ni JK mwenyewe ambaye hawezi kuiongoza nchi na ambaye amekuwa source ya kuteua mawaziri Vihiyo na Wezi kama hao , kisha Pinda afuate na it is obvius Pinda akiachia ngazi na Mawaziri wote watakuwa hawana chao. Na pia kuachia ngazi kwa hao Mawaziri hakutoshi wanapaswa wafunguliwe mashitaka na ikiwezekana wafungwe. Ndugu sasa hivi kama tumetumwa kulinda Nyani wasile mahindi na sasa tunacheka nao tunachotaka ni nini? Kuna msemo Ukicheka na Nyani...........?. Ombi langu kwa Wabunge na wanaharakati wote walivalie njuga suala hili ili utajiri wa nchi yetu udumu kwa ajili ya vizazi vijavyo.Naomba msaada wenu wa mawazo
   
Loading...