Chadema yakamata ngome ya ccm kyaka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema yakamata ngome ya ccm kyaka.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nelson mlokozi, Apr 24, 2012.

 1. N

  Nelson mlokozi Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cdm tumeshinda uchaguz wa mwenyekiti wa kijiji cha Burifan kwa mgombea wetu ndugu.DEOGRATIAS LAURIAN Kupata kura 401 uku mgombea wa ccm ndugu mathias kibarwiga akipata kura 129 na Mgombea wa TLP ndugu plasid Vedasto akiambulia kura 2.katika eneo ilo wanatoka vigogo wa ccm kama mbunge wa Nkenge Asumpta Mshama,mwenyekiti wa jumuhiya ya wazazi ndugu Fidelis Kibarabara,katibu mwenezi wa ccm wilaya ya missenyi na ambaye pia ni diwani wa kata hiyo Ndugu Projestus Tegamaisho na katibu wa jumuhiya ya vijana na UWT.....source ni gazeti la mwananchi toleo la leo tar 24 april 2012,ukurasa wa 9.
   
 2. ikuo

  ikuo Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Wembe ni uleule makamanda mwanzo mzuri, huku tanga naona bado kidogo wanamtazamo tofauti kisiasa wabishi kama nini, nadhani wanahitaji kupungwa kidogo.
   
Loading...