Maandamano viwanja vya mnazi mmoja kila Ijumaa kuanzia 27/4/12

kicheche999

Member
Apr 23, 2012
47
16
Tuwasihi makamanda wanaotaka mabadiliko TZ kama Lema au Zitto wanzishe maandamano kila ijumaa kama tahrir square hadi serikali au viongozi "mafisadi" wawajibishwe. Watu watakapo zidi kusikia kuhusu haya maandamano nawakika kila Ijumaa watu watazidi kuongezeka viwanjani na hapo ndipo viongozi wataanza kujinyea. Maandamano pia yatawafanya watu wajisikie kama wanauwezo na sauti ya kulazimisha mabadiliko nchini
 
Unahamu ya kutolewa ngeu wewe?. Si mlishaambiwa huo ni upepo tu!. Umevuma tangu ijumaa kutoka Malawi ukaja Dodoma sasa leo unaelekea maeneo ya Zenji na unapotea. Maisha yanaendelea...
 
umma ukiamua hakuna wa kuzuia.......tatizo la bongo ni woga na unafiki:A S angry::A S angry:
 
Uwoga utaisha pale wananchi watakapo jikusanya. Na mtu kama Zitto au Chadema wanauwezo wakutosha kukusanya watu 50,000 mnazi mmoja
 
Hakuna njia mbadala ya kuwatoa hawa wezi wa mali za nchi hiii zaidi kuwaonyesha kuwa tumechoka na hadithi zao za ajabu kila siku ka vipi tukisanue mpaka kieleweke.. NAUNGA MKONO HOJA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom