"Polisi ndio walionipiga na kuchoma moto gari langu walikuwa na mapanga";ushahidili wa tandahimba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Polisi ndio walionipiga na kuchoma moto gari langu walikuwa na mapanga";ushahidili wa tandahimba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWIBA WA KATANI, Apr 24, 2012.

 1. MWIBA WA KATANI

  MWIBA WA KATANI Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&amp]Prof.Lipumba ameongea na waandish wa habari leo na kubainisaha haya"Kwa ushahidi wa wananchi, polisi walivamia duka la kijana mmoja anayeuza mafuta ya taa, dizeli na petrol, walianza kuchukua mafuta waziwazi na kumwagia maduka kadhaa kwa kuchagua. Walimwagia duka hili na kuacha lile ilimradi walijua wanachofanya. Hapa inaonesha kuwa walielekezwa nini cha kufanya"[/FONT]

  [FONT=&amp]"Wakati uchomaji wa maduka unaendelea polisi pia walichoma gari moja aina ya ESCUDO lenye namba T323ADK huku mmiliki wake, Abdallah Abdallah akitazama kwa macho yake gari likimwagiwa petrol na kutiwa moto. Kabla hawajalichoma yeye alikuwa anaendesha kutoka nyumbani kwake kwenda kwenye duka lake sokoni baada ya kupata taarifa duka lake linaungua moto. Ghafla polisi walimsimamisha kwa ghadhabu na kumuamrisha azimishe taa. [/FONT]"

  HUU NDO UNYAMA UNAOFANYWA NA JESHI LA POLISI HUKO TANDAHIMBA
  SOURCE.TOVUT YA CUF POLISI WALISIMAMIA KUCHOMA NYUMBA ZA RAIA TANDAHIMBA
   
 2. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Polisi wa mikoani wanatabia ya kufanya vitendo vya kikatili sana.sijui kwa vile huko hamna vyombo vya habari?
   
 3. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  mwiba wa katani habari yako, mbona hatukutani kujadili mambo ya bunge yenye mustakhabali mkubwa wa taifa letu? au CUF mmejitoa kujadili maswala ya bunge jamani? Ohhhhh, samahani, nilisahau kuwa nyie ni chama tawala pia ooopsss
   
 4. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Polisi wa mikoani wanatabia ya kufanya vitendo vya kikatili sana.sijui kwa vile huko hamna vyombo vya habari?
   
 5. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usimlam mwiba wakatani kwani hata kujadili raia wanoonewa na polisi wahuni ni muhimu pia
   
 6. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na kama polisi washaanza kutumia mapanga raia wa kawaida tufanyeje?
   
 7. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii nchi tulipoifikia nashauri jeshi liingilie kati kwani jeshi la umma likiingilia kati hapakalikia hapa
   
 8. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Nimeona hii kwa clip ya mshikaji wangu flan, polisi wameleta maafa sanaaaaaa!!!!!!!!!!!!
   
 9. k

  kijereshi JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  hii ni hatari na fedheha nyingine kwa jeshi la polisi madudu haya hayatakiwi kufumbiwa macho hata kidogo,utasikia commissioner chagonja anatumwa kwenda kufanya uchunguzi usio na miguu wala kichwa kama alivyofanya songea mpka leo huo uchunguzi hatujapata report,mwenye hyo clip tafadhari tusaidie kuiupload hapa ili tushuhudie nasisi.
   
 10. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  nsivyopenda kuonewa nahisi ningeingia msituni, ningerudi kama mafioso, mbona wangejutia tu maamuzi yao!
   
 11. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ka vipi tutupie hiyo clip bas
   
Loading...