Ubabe ndani ya bunge. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubabe ndani ya bunge.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by manuu, Apr 24, 2012.

 1. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Jana nilicheki kikao cha kuairisha bunge lakini jinsi spika alifunga bunge kwa kuuliza"Wangapi wanataka binge liairishwe na wangapi wasio afiki bunge kuairishwa moja kwa moja waliokataa bunge kuairishwa walikuwa wengi ila Spika akatumia nguvu alizonazo kutamka mapenzi yake ya walioafiki wameshinda.
  Jamani hivi nchi hii yetu itakuwa ikipelekwa kibabe hivi mpaka lini?
  Na ni nani basi atakaye simama na kuleta demokrasia tunayo aminishwa kuwa ipo hapa Tanzania?
  Kweli viongozi kwa jinsi wanavyobebana sidhani kama kutaweza tokea mabadiliko ya dhati ndani taifa ili letu kama NGUVU YA UMMA haitatumika.
   
Loading...