Kumekuwepo na tetesiza uwezekano wa kuvunjwa kwa baraza ka mawaziri wakati wowote kuanzia sasa. Na wapo watu ambao wametoa wito kwa rais kufanya hivyo. Je hoja ya mdahalo huu ni ya kweli au siyo...
Siku alipokuwa akitangaza majina ya wajumbe wa tume ya katiba, Kikwete alisema kuwa "Wananchi wajadili katiba, wasijadili Muungano" na akasisitiza kuwa watakaojadili Muungano watachukuliwa hatua...
Source: Inner City Press: Investigative Reporting from the United Nations, U.N. Officials Reluctant To Disclose Financial Relationships And Assets, Putting Spotlight On Ethics | Fox News, maoni...
Watanzania walio wengi ikiwa ni pamoja na Wabunge, Viongozi wa ngazi mbali mbali Serikalini, Viongozi wa dini na watu wengine wa kada mbalimbali walitegemea na walikuwa na matumaini chanya katika...
Muasisi wa Ukomunisti Karl Marx akinukuu maneno ya Mwanafalsafa wa Kijerumani Hegel, alisema, Na Naomba kunukuu. "Kila mfumo una mbegu ndani yake za kujiharibu, au kujimaliza wenyewe" Nasema hivi...
BAADHI ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi, walioshiriki kusaini hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu kwa nia ya kushinikiza kujiuzulu kwa mawaziri wanaotuhumiwa kufuja mabilioni ya fedha...
Labda tujenge hoja kwa kusema HIVII
HAZINA ni kama Roho ya kitu kinachojiita serikali. Ili serikali zote Duniani ziendeshwe lazima ziwe na mkoba wa vijisenti na masenti yao. Viongozi wenye...
"Wananchi wanahitaji watendaji wanaofanya kazi, ukikosa kuwajibika kwa wananchi watawajibisha" Mwisho wa kunukuu
Nape ameyasema hayo baada ya diwani Mwingine Mwanza kukihama chama cha mapindizi...
JK aliwachimba mkwala wenzake pale bungeni. Alisema yeye pamoja na kuwa ana sura ya tabasamu lakini ni mkali kwenye mambo ya msingi. Mbona hawi mkali na pesa ya walalahoi inayoliwa na serikali...
Kushoto (CAG), Ludovick Utouh Kulia Speaker Anne Makinda
Malipo hewa kwa wabunge yabainishwa
Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, (CAG), Ludovick Utouh...
Watanganyika wenzangu inaakuwaje kiongozi yeyeto yule awe Rais au Mawaziri wakiulizwa maswali kama vile matatizo ya maji,umeme,mfumuko wa bei za vyakula nk, hawatoi majibu ya kueleweka mara...
hivi hawa mawaziri wa Vasco Dagama wanajua maana ya uwajibikaji? maana kwa wenzetu walioendelea kashfa ndogo tu hata kama waziri hakuhusika moja kwa moja anajiuzuru hapa kwetu mpaka wananchi...
Heshima Kwako MwanaJF.
Kitendo cha Januari Makamba, Shekifu na Ngwilizi na wengi wa Wabunge wa CCM kutosaini kutokuwa na imani na PM pamoja na mawaziri wake huku wananchi wa Lushoto na Tanzania...
Majembe ya CDM yatafanya mkutano mkubwa wa CHADEMA kesho mchana katika viwanja vya Kwaraa, na watazindua matawi ya chama na vijiwe vya wakereketwa. Pia watapokea kadi za watu maarufu wa CCM na...
Fahamu hili katika Katiba Mpya ya Kenya.
Bunge la Kenya linaendelea chini ya Katiba Mpya ambapo katika kila kikao cha Bunge ni lazima Rais aje ahutubie Bunge na kueleza utekelezaji wa Maadhimio...
Kaka Pinda kama unajiona ni msafi ondoka huyu jamaa (JK) si wakufanya naye kazi. Utaingia kwenye mgogoro mkubwa sana na wananchi wako nakuomba sana mwachie nchi na wenzake. Ujue ukitaka kumlizishe...
Nakupenda sana kwa mafanikio ya kuua ccm. Tangu lini kiongozi uambiwe hawa watu ni wezi badala ya kushughulikiwa sisi tunatafakari cha kuwafanya. Tunataka waharibu nini ndio wachukuliwe hatua...
Send to a friend
Tuesday, 24 April 2012 20:53
0diggsdigg
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe
WATUPA MPANGO WAKE WA MAENDELEO, PIA WAJIPANGA KUKWAMISHA BAJETI, CHADEMA WAANDAA...