Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bodi ya Shirika la Reli Tanzania na Zambia (Tazara), imewafukuza kazi vigogo saba kwa sababu ya kuvurunda na kuwaweka viporo Mkurugenzi Mkuu na Kaimu wake hadi Baraza la Mawaziri wa nchi hizo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau: Ujumbe (in red) katika makala hii safi sana imenilazimu kumkumbusha Dr Benson Bana na Taasisi yake ya Synovate. Nampa changamoto kwamba haoni iwapo wakati huu ni muafaka kufanya kura ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Kila mtu anajua JF ndio jukwaa lenye mawazo makubwa zaidi Tz, silijui jingine labda mtu aniambie. Tume itaanza kukusanya maoni soon kutoka kwa mtu mmoja mmoja na vikundi, hata JF ni kikundi pia...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekuwa nikiangalia mwenendo mzima wa siasa za hapa nyumbani, na kulinganisha na siasa za nje, kusema ukweli siasa za hapa nyumbani zinalenga masilahi binafsi na wala si masilahi ya Taifa. Inauma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa wenye access na Radio sikilizeni mahojiano kuna mwakilishi wa wananchi bwana Temba, Zitto na Nappe. Au fuatilieni thread hii kwa updates.
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Leo katika maadhimisho ya miaka 48 imedhihirisha mapungufu makubwa ya utawala wa JK. nasema hivi kwa sababu mimi mwenyewe nimeshuhudia jinsi siku hii imekuwa ni ya gwaride,maonyesho ya halaiki na...
0 Reactions
2 Replies
939 Views
The unique ability of our national leaders to make billions of shs of public funds disappear with total impunity especially in this post-Richmond political environment with a growing...
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Huyu jamaa mara zote hatoi analysis halisi kwa jambo husika bali upotoshaji.Jiulizeni report zake za REDET,maoni yake kwa jambo lolote la kisiasa hata kama unajua hali halisi atasema tofauti.Mfano...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
WABUNGE WA CHADEMA NA LAANA WALIOITAKA. Tunafahamau fika kwamba ,chama chochote cha siasa kote duniani ,kinapo anzishwa kinakuwa na lengo la kutawala kikinuia kuwaboreshea maisha watu wake...
7 Reactions
31 Replies
5K Views
Taifa Kwanza…, Chama Baadae.., Ni kauli nzito na ya kuunga mkono ambayo nimesikia wabunge wakiisema mmojawapo akiwa Zitto.., (ninakubaliana nayo kwa asilimia 100) Tusimamie serikali, ikikosea...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Chadema ina uhakika mkubwa wa kushika Dola katika uchaguzi ujao kama utakuwa kweli huru na wa haki. Naunga mkono Sera yao ya „Utawala wa Majimbo", na ningependekeza kwamba waiweke hadharani...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Kwa kuwa washauri wako wa uchumi wame shindwa,sera zime shindwa,hata kutumia za chama"mbadala" cha upinzani hutaki,basi desa kwa nchi zilizo fanikiwa kujua wanatumia strategy zipi!Nina kupa...
0 Reactions
3 Replies
972 Views
  • Closed
watanzania tuwe macho na viongozi ambao wapo tayari kuingia ikulu kwa kukanyaga damu zetu, viongozi wanaochochea vurugu ili tu wapate kutimiza malengo yao ya kisiasa tuwaepuke viongozi wa namna ni...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Za shughuli wadau? Nimeshangazwa sana na sherehe za muungano kutokuwa na hotuba. Faida yake ni nini hasa kama hakuna hotuba kutoka mkuu wa nchì hizi mbili ikiwa yeye ndo mgeni rasmi? Shida...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Home Habari Habari za Siasa UVCCM Mkoa wa Arusha waanza kufukuzana BOOKMARK THIS PAGE UVCCM Mkoa wa Arusha waanza kufukuzana Send to a friend Wednesday, 25 April 2012 20:19...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
CAG, Ludovick Utouh Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, (CAG), Ludovick Utouh, amebaini matumizi mabaya katika Chuo cha Mabaharia cha Dar es Salaam (DMI) ambapo Mwenyekiti wa baraza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kero za muungano zitawezaje kuisha kama watatuzi ni wazanzibari tu namaanisha waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais muungano ambaye lazima atoke zanzibar na makamu wa pili wa rais serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Nimefurahishwa nilipodokezwa na rafiki yangu wa Chadema kuwa kuna mazungumzo yanaendelea ili vyama vyote nilivyotaja vizunguke nchi nzima kuhutubia mikutano ya hadhara kuhusu operation...
9 Reactions
117 Replies
11K Views
Sasa hivi vyeo hivi vimewekwa kwa Rais. Yeye ndiye "Mkuu wa nchi" yaani "Head of State" na vile vile yeye ndiye "Mkuu wa Serikali" yaani "Head of Government". Kama mkuu wa nchi ndiye amiri jeshi...
4 Reactions
24 Replies
46K Views
katika Kata ya Lugata leo, Mkiti wa kitongoji Yohana Sospita ameondoka CCM na kujiunga na CHADEMA katika mkutano uliofanywa na Kamanda Godbless Lema, Alphonce Mawazo na Henry Kileo katibu Mkoa...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…