Je hii ni halali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hii ni halali?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by freduu, Apr 26, 2012.

 1. f

  freduu Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 90
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  Leo katika maadhimisho ya miaka 48 imedhihirisha mapungufu makubwa ya utawala wa JK. nasema hivi kwa sababu mimi mwenyewe nimeshuhudia jinsi siku hii imekuwa ni ya gwaride,maonyesho ya halaiki na ngoma za asili hii inaonesha udhaifu wa serikali kwani wameshindwa kutoa hata hotuba ya kuelezea changamoto zinazokabili muungano,kueleza faida za muungano, tufanye nini ili muungano uendelee kuwepo.badala yake imeishia kuwa ni siku tu ya show.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Dah!mwenyewe imenishangaza kweli.
   
 3. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mbona ndio ilivyo, na imekuwa. Kila mtu anaogopa suala la Muungano. Mdomo huponza.
   
Loading...