Je siasa za Tanzania zitamuokoa mwananchi wa hali ya chini? Je nini kifanyiike kuinusuru nchi yetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je siasa za Tanzania zitamuokoa mwananchi wa hali ya chini? Je nini kifanyiike kuinusuru nchi yetu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nahory Mwendi, Apr 26, 2012.

 1. N

  Nahory Mwendi New Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikiangalia mwenendo mzima wa siasa za hapa nyumbani, na kulinganisha na siasa za nje, kusema ukweli siasa za hapa nyumbani zinalenga masilahi binafsi na wala si masilahi ya Taifa. Inauma sana unapoona kiongozi mliemchagua huku mkiwa na imani kubwa kuwa atawaondolea kero mlizonazo, mwisho wa siku akipata uongozi hata kurudi kuja kuwashukuru kwa kumuweka madarakani anashindwa. Je hii ni haki kweli? Ni lini wanasiasa watamuokoa mwananchi wa hali ya chini? Nini kifanyike kuinusuru nchi yetu kwani inamegwa kila siku na hao ambao tuliwapa dhamana kutuletea maendeleo?​
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,079
  Trophy Points: 280
  M 4 C is the answer!
   
 3. L

  LOVI MEMBE JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,121
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  siasa hizi bongo za akina kikwete hazina ukombozi wa ukweli wowote kwa tanzania ya leo hovyo kabisa. ukombozi huu ni wa akina ridhiwani na wadogo zake wanaomiliki mali nchi nzima. inaonekana baada ya bb yake kukamata nchi aliwaasa kuanza kusaka mali kwani familia yao ilikuwa maskini wengine mlie si lolote si lolote
   
Loading...