malumbano ya hoja, kipindi kimeanza itv, renatus mkinga yupo...
renatus mkinga leo ametangaza rasmi kuwa yeye ni ccm asilia, haya kayazungumza mda si mrefu itv kipindi cha malumbano ya hoja...
Thursday, 26 April 2012 09:31
Profesa Maina
Peter SarambaLEO tunaadhimisha miaka 48 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar iliyozaa taifa la Tanzania mnamo mwaka 1964.
Miaka 48 ni umri...
Ndiyo wakuu ! Ile kauli kuwa mjinga akijitambua mwerevu upo matatani ime endelea kutimia. Jana wanachama 1200 wa ccm wamerudisha kadi na kujiunga na makamanda. Mkutano huo uliongozwa na Kamanda...
na Waandishi wetu
WAKATI Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (CHADEMA), amesema kuwa hakutumwa na Rais Jakaya Kikwete wala mtu yeyote, kuibua hoja ya kutaka Bunge lipige kura ya kutokuwa na...
Hainiingii akilini kuzuia Watanzania kujadili kama wanataka Muungano au la kisha kama wanautaka waseme wa aina gani. Kila siku tumeona Wazanzibar wakisema tunawaonea na sasa karibu nakubaliana na...
Balozi mpya wa Rwanda alikabidhi hati zake kwa Bernard Membe ambaye alikuwa amevalia shati nyeupi alafu nje, yaani barazani wizarani. Hii ilikuwa ni tofauti na utamaduni wa kidplomasia, ambapo...
Viongoz wa CHADEMA Taifa Tunaomba mikutano ya ufunguzi wa ofsi Wilaya ya Same Kata ya Makanya, suji, Chome na Gavaosaweni kwani tunazo ofisi za Kata ambazo zipo tayari tangu mwez wa 1 ilabado...
Mcheki itv, amejitambulisha mwenyewe kuwa yeye ni sisiem damu ile ya asili,na ndiyo maana anaonekana kavaa shati la kijani.ANAONEKANA LIVE ktk marumbano ya hoja.
Tetesi ambazo zinanisikitisha zinadhihirisha kufilisika kwa serikali yetu na kufa kwa shirika hili.Ikitokea shirika likashindwa kujiendesha na bado likazidi kuhujumiwa basi ujue kaburi lake liko...
Siku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka...
Ophir Energy, a company in which Kulczyk Investments (owned by Polands richest man, Jan Kulczyk) holds more than 10 percent of shares, has discovered new natural gas deposits in Tanzania...
Najaribu kukumbuka jinsi Mwl. J.K. Nyerere alivyokuwa na uwezo mkubwa wa kufanya maamuzi magumu. Nina imani kabisa kutokana na uwezo mkubwa wa J.K. Nyerere katika kusoma alama za nyakati na...
GreatThinkers,
Sota tunajua mizengwe iliyofanywa Gaucho akapata hicho cheo,
Yeye ni mdhambi kwa nini asiondolewe. Anaharibu mipango mingapi mizuri ya nchi yetu?
Hata anayelia lia kutaka kuhurumiwa...
Najua kwamba upo humu jamvini, kumbuka zile ahadi ulizotoa za kufanya harakati ktk kuwashinikiza wale wote waliohodhi ardhi ya wameru ili irudishwe tena mikononi mwa wananchi.
"OPERESHENI...
mbunge wa viti maalum ccm kutoka mkoa anakotokea Pinda ameibiwa baa usiku wa saa nane za usiku akila bata huko Dodoma.
Source: wapo Radio.
Mbunge aporwa baa
Na Mwandishi wetu
26th April...
Msomi kutoka chuo kikuu cha DSM Dk Benson Bana amesema ni makosa makubwa serikali kuongozwa kwa mashinikizo.Dk Bana alikuwa akirejea shinikizo la kuwawajibisha mawaziri mafisadi na wazembe...
awaomba watanzania wote mlipo muntafute kilanja mkuu anatafutwa na atuambie mbona ni mtoro darasani,mahudhurio yake yatamfanya afukuzwe shule huyu ni
JAKAYA MRISHO KIKWETE anatokea bagamoyo mara...
ni juzi tu kwenye vikao vya bunge kabla halijaairishwa mh. John cheyo alipotoa ripoti kuonesha ni jinsi gani serikali inavyoingia hasara kwa kuwa na matumizi yasiyo ya lazima akatoa mfano jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.