JK angalau DESA kwa nchi zilizofanikiwa kiuchumi ukwamue kwako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK angalau DESA kwa nchi zilizofanikiwa kiuchumi ukwamue kwako

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chaimaharage, Apr 26, 2012.

 1. Chaimaharage

  Chaimaharage JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa washauri wako wa uchumi wame shindwa,sera zime shindwa,hata kutumia za chama"mbadala" cha upinzani hutaki,basi desa kwa nchi zilizo fanikiwa kujua wanatumia strategy zipi!Nina kupa mfano:Rwanda ndani ya muda mfupi wame fanya wonders,unashindwa kuongea na Kagame kujua alifanyaje?au unaona aibu? Kagame anasema bandari kama ya DSM ingekuwa yao hahitaji msaada wowote kutoka ng'ambo.Sasa jiulize TZ tuna vingapi! mwenzio hicho kimoja kina tosha.Ukiwa na maraisi wenzio unajisikiaje na"FAILED STATE"yako?
   
 2. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  mkuu hakuna nchi iliyoendelea duniani kwa kuruhusu wawekezaji kutoka nje waje wachukue rasilimali waondoke zao. Angetafuta teknolojia na sisi tuexport bidhaa za viwandani nje vinginevyo sidhani.
   
 3. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  kudesa inahitaji knowledge angalau, otherwise maafa.
   
 4. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kudesa kunahitaji nawe uwe na AKILI KIDOGO.
  Sasa unapokosa hata hizo 'akili kidogo' utajikuta uliyemdesea anapata 'A' afu wewe mdesaji unaambulia 'D'
   
Loading...