wanzanzibar kutatua kero za muungano wanaweza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanzanzibar kutatua kero za muungano wanaweza?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ALOYCE MPANDANA, Apr 26, 2012.

 1. ALOYCE MPANDANA

  ALOYCE MPANDANA Senior Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 170
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  kero za muungano zitawezaje kuisha kama watatuzi ni wazanzibari tu namaanisha waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais muungano ambaye lazima atoke zanzibar na makamu wa pili wa rais serikali ya mapinduzi zanzibar.kabla ya hapo ilikwa ni waziri kiongozi Zanzibar akishirikiana na waziri wa muungano je tatizo la pande mbili kushiriki pande moja katika utatuzi ni sawa..naomba kuwasilisha.mungu ibariki JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
   
Loading...