ZITTO, NAPE live on Radio One | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ZITTO, NAPE live on Radio One

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mu-sir, Apr 25, 2012.

 1. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,638
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  kwa wenye access na Radio sikilizeni mahojiano kuna mwakilishi wa wananchi bwana Temba, Zitto na Nappe. Au fuatilieni thread hii kwa updates.
   
 2. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,638
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  Nape anasema tatizo ni mfumo lakini Zitto anasema ni uwajibikaji ambao haupo.
   
 3. mwangalizi

  mwangalizi JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 60
  Thanks for update!:ear:
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,617
  Likes Received: 1,109
  Trophy Points: 280
  Zitto anajishushia heshma kuna haja ya kukaa kujadiri jambo na mtu kama Nape?
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,124
  Likes Received: 7,084
  Trophy Points: 280
  Nape anaongea porojo tu hana jipya. Pumbavu kabisa huyu.
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,124
  Likes Received: 7,084
  Trophy Points: 280
  Asante Mkuu kwa kuligunduwa hilo, nadhani Zitto amepotoka katika hili kukaa na mtu wa kitengo cha Propaganda.
   
 7. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,600
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Maajabu mtangazaji Isaac Gamba anamuuliza Nape ajibu hoja za kiserikali kazi kwelikweli.
   
 8. M

  MIRIJA IKATWE Senior Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vuvuzela lao limetumwa kuudanganya uma, Magamba siku zinahesabika
   
 9. d

  diwan JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 309
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Thank kwa taarifa, nimewapata.
   
 10. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,638
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  Nape anasema hatu ya mawaziri kusuguana na manaibu wao hadhani kama wanaweza kufanya kazi pamoja. Kuhusu kutisha wabunge amekanusha kwamba chama hakijafanya hivyo na kitendo hicho ni uvunjaji wa katiba ya nchi. Ni zamu ya Zitto.
   
 11. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 951
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Akhsante mkuu,lol hata hvyo nimechelewa kidunchuu..anyways thank u mu-sir
   
 12. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,577
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  Mkuu Zito huyo Gamba anathubutu kukaa na wewe hapo? Mpige chini mwite bosi wake mkuu aje.
   
 13. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,638
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  Kuhusu kukodisha ndege Zitto anasema dhamana ilitolewa na Mkullo kinyume cha sheria na nundu kosa lake ni kuingilia Procurement ya bandari lakini ambacho yuko sahihi ni kuzuia gharama kubwa za ujenzi wa Gati 13 na 14.
   
 14. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,638
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  pamoja sana mkuu.
   
 15. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,542
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Asante sana.
   
 16. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,638
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  anasema Zitto kuwa kwa nini waziri mkuu asiwe na uwajibikaji zaidi kusimamia wizara zake? Amesema pia kama hawatajiuzuru basi wabunge wote watakwamisha bajeti ya Wizara za serikali kuanzia ngazi za kamati.
   
 17. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,638
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  Zitto anakazia uwajibikaji ndio msingi wa kuondoa ufisadi.
   
 18. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,078
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  jamani hivi redio one haipo online?
   
 19. Shardcole

  Shardcole JF-Expert Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,541
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Ahsante kwa taarifa mkuu.
   
 20. m

  mzaire JF-Expert Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ah! magamba nayoo!
   
Loading...