Sengerema: CCM yazidi kupukutika, Mkiti ahamia chadema na wanachama zaidi ya 1000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sengerema: CCM yazidi kupukutika, Mkiti ahamia chadema na wanachama zaidi ya 1000

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Apr 25, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  katika Kata ya Lugata leo, Mkiti wa kitongoji Yohana Sospita ameondoka CCM na kujiunga na CHADEMA katika mkutano uliofanywa na Kamanda Godbless Lema, Alphonce Mawazo na Henry Kileo katibu Mkoa Kinondoni, na wanachama zaidi ya elfu wa CCM kujiunga na CHADEMA
   
 2. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  Anayefikiria kuwa huu ni upepo! Then he
  should think twice.
   
 3. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  mkuu ni kinondoni ay sengerema?
   
 4. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  sengerema ya ngeleja au Kinondoni ya Azan
   
 5. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mkuu iko very clear Henry Kileo katibu wa CDM Mkoa (Kinondoni) anayeendesha mikutano pamoja na Lema huko Sengerema.
   
 6. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mvua kwa ccm bado inanyesha chadema tunakinga mpaka na vijiko vijae
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni Sengerema...
   
 8. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  kama sijakuelewa vizuri mkuu, rudia kusoma uone kama utaelewa ulichoandika.
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Sengerema jimbo la buchosa....
   
 10. M

  Molemo JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Keleuuuuuuuuuuuuuuwiiiiiiiiii!!!!!!
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Naona kama vile nasomeka

  nihivi.....Mwenyekiti wa Kitongoji kata ya Lugata jimbo la buchosa amekihamia chama cha Mapinduzi na kuhamia chadema pia wanachama zaidi ya 1000 wamekihama chama cha mapinduzi na kuhamia CHADEMA....
   
 12. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,137
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  mpk mwaka huu uishe chichiem itakua imebak na wajumbe wa nec tu.
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Yesu Maria na Yosefu!!!!
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kwa mambo yanavyo kwenda si ajabu baadhi wakajivua magamba.....
   
 15. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mpaka 2015 Chama Chama Mahuni kitakuwa kimebakiwa na Mafisadi tu, na bora waanze kujenga vyumba vizuri huko Segerea na Keko.
   
 16. Yombayomba

  Yombayomba JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 23, 2006
  Messages: 818
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu

  Jimbo la Buchosa si ndio jimbo la huyu Tzeba? jamaa ni kiazi saana huyu
   
 17. k

  kijereshi JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  wadau naomba nitoke nje ya mada kidogo mniwie radhi,hv watz tutakuwa serious kama wenzetu wakenya ln nilikuwa naangalia taarifa yao ya habari jioni hii citizen tv majaji watano wamepigwa chini kwa kuharibu kesi na bado tume inafanya uchunguzi atakae bainika hakuna cha msalia mtume anatupiwa virago nje yan imenitia hamasa sna hasa kwa judiciary ilivyo kwetu hpa tz majaji na mahakimu wako kulinda interest za wakubwa na wenye chao tu jaman hebu tuige jirani zetu wakenya kwa mazuri.asanteni kwa kunivumilia
   
 18. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ...Ni upepo tu nao utapita..tehe tehe..JK bwana!!...
   
 19. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hayo mabadiliko yataletwa na Chadema, sitegemei haya Mahuni na mapumbavu kama yataweza kufanya hivyo hata kama tukiwa na Katiba mpya yataipindisha kwa kulinda maslai ya genge lao la kihuni (CCM). Kwa hiyo 2015 utoke na familia yako kwenda kuwatokomeza hawa Mahuni CCM
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  CCM wanapoona mpaka imefikia hatua wenyeviti wa ngazi za msingi wanahama wanachanganyikiwa sana.
  CCM wanajuta kumpa likizo kamanda Lema

  Lema anavuna mpaka asichopanda. Hii ni hatari kwa magamba

  Msako unaendelea.
   
Loading...