JF, kisima cha mawazo, napendekeza tuandae mawazo yetu tuyawasilishe Tume ya katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF, kisima cha mawazo, napendekeza tuandae mawazo yetu tuyawasilishe Tume ya katiba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Apr 26, 2012.

?

Je, JF tuwe na mjadala wetu makini na tupeleke mawazo yetu tume kwa pamoja?

Poll closed May 10, 2012.
 1. Ndio, ni wazo zuri

  7 vote(s)
  100.0%
 2. Hapana, haitawezekana

  0 vote(s)
  0.0%
 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kila mtu anajua JF ndio jukwaa lenye mawazo makubwa zaidi Tz, silijui jingine labda mtu aniambie.

  Tume itaanza kukusanya maoni soon kutoka kwa mtu mmoja mmoja na vikundi, hata JF ni kikundi pia. Tunachoweza kufanya ni kuanza kujadili mambo mbalimbali ya katiba na kuwa na mtu anayeweza ku summarize na siku moja baadhi yetu tukutane tuyawasilishe huko. Kama mod atakubali, ateuliwe mtu atakayechukua summary na ku compile. Mimi naweza kuwa lead katika issues za kujadili. Mfano, tunaweza kuanza na Muungano, mnapewa summary ya muungano ulivyo sasa, then tunajadili kwa upana, tunaandika summary ya mawazo ya wengi, tunaileta tena summary kwa majadiliano then tunakuwa tumemaliza muungano. Tunakuja labda uchaguzi wa Rais, tunaendelea hivyo, hivyo. Wanaokubali waseme ndio, hapana waseme hapana!
   
 2. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Naunga mkono hoja..............
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Du unanikumbusha Regia Mtema(RIP) na uzi kama huu.

  Naunga mkono hoja!
   
 4. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Ni wazo zuri lakini kumbuka wengi katika JF hatujulikani kwa majina halisi. Nani atawakilisha. Inawezekana wewe ni Speaker, au General jeshini au hata JK. We dont know. Nani atapeleka hoja zetu kwa Warioba?
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  JF ni think tank network. Naunga mkono hoja 100%
   
 6. i

  ibange JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Si lazima majina, ukisema umri wako labda na jinsia inatosha inatosha. Hapa kuna watu wana majina yao halisi hilo si tatizo sana.
   
Loading...