Kiongozi anayehamasisha vurugu hatufai

Status
Not open for further replies.

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
watanzania tuwe macho na viongozi ambao wapo tayari kuingia ikulu kwa kukanyaga damu zetu, viongozi wanaochochea vurugu ili tu wapate kutimiza malengo yao ya kisiasa tuwaepuke viongozi wa namna ni hatari kwa taifa letu, amani ikitoweka wao huondoka na familia zao nje ya nchi na kutuachia vurugu, tunataka mabadiliko kwa njia ya Amani. Mpenda Amani.
 
Kaka ni bora ya hao kuliko hii mijizi iliyopo sasa, nahisi tukiendelea kuiacha nchi itabaki mifupa mitupu, vilevile kumbuka hakuna atakayekupa haki yako bila kuipigania
 
watanzania tuwe macho na viongozi ambao wapo tayari kuingia ikulu kwa kukanyaga damu zetu, viongozi wanaochochea vurugu ili tu wapate kutimiza malengo yao ya kisiasa tuwaepuke viongozi wa namna ni hatari kwa taifa letu, amani ikitoweka wao huondoka na familia zao nje ya nchi na kutuachia vurugu, tunataka mabadiliko kwa njia ya Amani. Mpenda Amani.
Unapenda amani au kwa kuwa twadai chetu eti tunaharibu amani amani gani iko
 
watanzania tuwe macho na viongozi ambao wapo tayari kuingia ikulu kwa kukanyaga damu zetu, viongozi wanaochochea vurugu ili tu wapate kutimiza malengo yao ya kisiasa tuwaepuke viongozi wa namna ni hatari kwa taifa letu, amani ikitoweka wao huondoka na familia zao nje ya nchi na kutuachia vurugu, tunataka mabadiliko kwa njia ya Amani. Mpenda Amani.
Haki haiombwi!
 
Viongozi wanaouza twiga wazima ndio hawatufai wewe Mkigoma, hawa unaosema wewe wenaleta vulugu ni kwamba wanaamsha watu bila hao inchi mpaka sasa ingekuwa ni mashimo matupu halafu wewe inaelekea ni mnyamwezi maana wanyamwezi ndio mpaka sasa ni giza totolo
 
Amani haitakuja mpaka tudundane kwanza ndo tuheshimiane huoni kenya wanavyoheshimiana sasa
 
Mkigoma, umenena vema, hasa slaa utadhani alizaliwa ili awe Rais!!! anafanya hivi kwa kuwa uzee umekwishamfika ana miaka 65 akiukosa 2015, mwaka 2020 atakuja na mkongojo.
 
Mkuu umekuja vibaya, hapa ni Home of Great Thinkers mkuu, siyo kwa wajinga wajinga ambao wanazidi kuchakaa kwa sababu ya kusikiliza maneno maneno kama hayo toka kwa viongozi wao. Hayo maneno hapa si mahali pake hata kidogo, na wewe wafahamu hilo, japo ume-post kwa kuwa umetumwa au uko kwenye system. You dont care about others.
 
Na wewe ni great thinker? kwi kwi kwi teh teh teh!
 
watanzania tuwe macho na viongozi ambao wapo tayari kuingia ikulu kwa kukanyaga damu zetu, viongozi wanaochochea vurugu ili tu wapate kutimiza malengo yao ya kisiasa tuwaepuke viongozi wa namna ni hatari kwa taifa letu, amani ikitoweka wao huondoka na familia zao nje ya nchi na kutuachia vurugu, tunataka mabadiliko kwa njia ya Amani. Mpenda Amani.

HAKUNA KIONGOZI ASIYEITAKIA AMANI NCHI YETU KAMA WANAOTAFUNA KEKI YA TAIFA HILI..Ungekuwa na hata certificate ya maadili ya uongozi ungenielewa tena sana......Tunawashukuru sana wanaharakati wetu MUNGU atawalipa kwani wametufungua macho sana......ANAEUZA TWIGA,MADINI,ARDHI,MALIPO HEWA,WIZI WA WAZI USIO NA VIELELEZO VYOVYOTE NDO WAVUNJA AMANI ..........
USHAURI WANGU KWAKO.
Tafuta chuo chochote nje au ndani ya nchi nenda ukasome MAADILI YA UONGOZI JAPO CERTIFICATE ITAKUSAIDIA.
Halafu omba sana roho ya KUTUMIWA ,KUKATALIWA NA MAROHO YA KURITHI YAKUTOKE KWANI INAKUSUMBUA SANA.
 
Mbona Polisi hamuwaondoi maana wenyewe si kuhamasisha bali wanawaua raia wasio na hatia kwa risasi? Usituletee Propaganda hapa, utaifa kwanza.
 
well said.. ila umesahau kumalizia..Kiongozi anayeingia madarakani kwa kuiba kura,fisadi na mwoga kutoa maamuzi magumu HATUFAI...kiongozi wa namna hii ndo wakumwogopa kuliko ukoma maana ndo atasababisha manunguniko,utendaji mbovu na hasira kwa wananchi
 
watanzania tuwe macho na viongozi ambao wapo tayari kuingia ikulu kwa kukanyaga damu zetu, viongozi wanaochochea vurugu ili tu wapate kutimiza malengo yao ya kisiasa tuwaepuke viongozi wa namna ni hatari kwa taifa letu, amani ikitoweka wao huondoka na familia zao nje ya nchi na kutuachia vurugu, tunataka mabadiliko kwa njia ya Amani. Mpenda Amani.
Chama chako kimeshakufa sasa unatapatapa hapa jamvini....RIP CUF!
 
Haya ndo madhara ya kutumiwa!! Amani ipi labda mkuu unayoiongelea!? Ile ya Kakola watu kufukiwa au ya Igunga watu kunyongwa ama ile ya Tarime au ya Mwanza wabunge kupigwa mapanga au ile ya Mukama kutishia wabunge!!?

Sijakuelewa, labda kama unaongelea ya Rage na hii ya mawaziri wa uchukuzi!!

Jidharau basi mkuu!!!
 
'Lakini amani peke yake haina maana katika maisha ya mwanadamu kama amani yenyewe maana yake ni kutokuwako mapigano. Maana amani ya namna hiyo inaweza ikawa kisingizio tu cha kudumisha dhuluma inayowapokonya binadamu wengi sana haki ya utu wao.' J. K. Nyerere-kwa mabalozi wa nchi za nje walioko Tanzania. Januari 1, 1968.

Wataje hao viongozi!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom