Maadhimisho ya Muungano bila HOTUBA

Endangered

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
922
228
Za shughuli wadau?

Nimeshangazwa sana na sherehe za muungano kutokuwa na hotuba. Faida yake ni nini hasa kama hakuna hotuba kutoka mkuu wa nchì hizi mbili ikiwa yeye ndo mgeni rasmi?

Shida iko wapi kwani?
 
za shughuli wadau?

Nimeshangazwa sana na sherehe za muungano kutokuwa na hotuba. Faida yake ni nini hasa kama hakuna hotuba kutoka mkuu wa nchì hizi mbili ikiwa yeye ndo mgeni rasmi?

Shida iko wapi kwani?

rais anaandaa barua ya kujiuzulu
 
Hotuba za JK hazina mvuto, na pia anajua watu wanachotaka kusikia kwa sasa ni mawaziri kujiuzulu na yeye hana huo mpango kwa sasa anangojea akina Maige ''wamalize kulipa deni la nyumba" ndio awamwage.

Pia kumbuka kuna kitisho cha jamaa wa uamsho wanataka kura ya maoni kuhusu muungano. Option aliyonayo mkulu ni either kuzungumzia hizo hoja au kukaa kimya. Kaamua kukaa kimya. Katiba mpya inatakiwa iweke Standard Operating Procedures kila sehemu ili kukiwa na sherehe kama hizi wananchi tujue nini cha kutegemea na sio kuacha Rais anajiamulia alivyoshauriwa na akina Mwanaasha
 
Mi si shangai kitu. Kulikuwa na upepo mbaya unapita hivyo alikuwa anasubiri upite.bora hajasema kitu maana hakuwa na jipya la kusema.angehutubia angetoa hotuba ya kuboa zaidi.washauri wake wamshauri asiitoe hiyo hutuba.jaookuwa huwa anakawaida ya kukaa kimya pale wanchi wanapotegemea kauli kutoka kwake
 
Na kukaa kwake kimya huwa kunatuacha wananchi hoi. Ni kama yatima tulio njia panda.
 
du hii kali sasa ratiba ilikuwaje mkuu!!
manake mi hata ham ya kuangalia ilishapoteaga
 
Atadanganya nini ambacho hajadanganya hadi leo? Yale Mamembe pale ikulu yamuonya kauxe sira waja wale then apige ramri kipi kifanyike
 
Mara nyingi kwenye sherehe za muungano huwa hakuna hotuba, lakini huwa sioni logic kwanini viongozi wa taifa huwa hawaongei na wananchi kuwaeleza mafanikio kama yapo. Nimefurahishwa na viongozi wa CDM kutokwenda maana hakuna sababu ya kwenda kuangalia gwalide na kurudi ni kupoteza muda na kuongeza gharama za bure kwa wananchi na serikali.
 
Nadhan hofu ipo juu, kwakuwa wananchi wengi wanahoji faida yake.

Ndechumia, mkuu leo ilikuwa ni kama maonyesho ya kisiasa.
Plus halaiki ya watoto ambao mostly hata hawajui kusoma wala kuandika. Sembuse kuhesabu. aka KKK.
 
Last edited by a moderator:
Aongee nini?faida za muungano?progress ya hiyo miaka 48?simply hakuna kitu cha kuzungumza..
 
Za shughuli wadau?

Nimeshangazwa sana na sherehe za muungano kutokuwa na hotuba. Faida yake ni nini hasa kama hakuna hotuba kutoka mkuu wa nchì hizi mbili ikiwa yeye ndo mgeni rasmi?

Shida iko wapi kwani?

Hakuwa na la kusema. Msongo wa akili kutokana na vituko vya Wabunge Dodoma last week.
 
atatoa hotuba mbele ya wazee wa "ku dasalama " si ndo zake huyu mheshiwa
 
Back
Top Bottom