Natoa rai kwa wanaomtumia Dr. Benson Bana wa UDSM kutoa analysis za kisiasa

Chaimaharage

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
211
78
Huyu jamaa mara zote hatoi analysis halisi kwa jambo husika bali upotoshaji.Jiulizeni report zake za REDET,maoni yake kwa jambo lolote la kisiasa hata kama unajua hali halisi atasema tofauti.Mfano anaposema wanaoleta hoja ya kumng'oa PM ni makosa kuishinikiza serikali.Ndiyo maana magazeti kama UHURU wana kimbilia kwake sababu wanajua ataficha ukweli.Tunataka watu kama Prof.Shivji ndio watoe analysis zao manake tunajua weledi wao,lakini siyo huyu KUWADI.
 
Nakuunga mkono 100% huyu jamaa ni mwizi kuliko hata mijambazi kwasababu anatumia resources za taifa kutuletea matokeo ya tafiti za uongo ili mradi afurahishe kikundi Fulani cha watu
 
Huyu jamaa mara zote hatoi analysis halisi kwa jambo husika bali upotoshaji.Jiulizeni report zake za REDET,maoni yake kwa jambo lolote la kisiasa hata kama unajua hali halisi atasema tofauti.Mfano anaposema wanaoleta hoja ya kumng'oa PM ni makosa kuishinikiza serikali.Ndiyo maana magazeti kama UHURU wana kimbilia kwake sababu wanajua ataficha ukweli.Tunataka watu kama Prof.Shivji ndio watoe analysis zao manake tunajua weledi wao,lakini siyo huyu KUWADI.
Ndiyo maana WAAFRIKA tunadharauliwa maana hata msomi anatoa hoja za wasiosoma.. Kwa hiyo dr Bana anataka kutuambia kuwa hata katiba yetu imekosea kuweka utaratibu wa kumuondoa PM?
 
Huyu jamaa mara zote hatoi analysis halisi kwa jambo husika bali upotoshaji.Jiulizeni report zake za REDET,maoni yake kwa jambo lolote la kisiasa hata kama unajua hali halisi atasema tofauti.Mfano anaposema wanaoleta hoja ya kumng'oa PM ni makosa kuishinikiza serikali.Ndiyo maana magazeti kama UHURU wana kimbilia kwake sababu wanajua ataficha ukweli.Tunataka watu kama Prof.Shivji ndio watoe analysis zao manake tunajua weledi wao,lakini siyo huyu KUWADI.

Hayat Prof Chachage aliwah kuandika kitabu kinaitwa MAKUWADI WA SOKO HURIA,huyu Dr me namjumuisha kwenye lile kundi la MAKUWADI WA DEM0KRASIA FAKE
 
Halafu anatakiwa kufungwa na baadae kunyongwa kwani huwa anaiingiza serekali kwenye hasara kubwa wakati wa kutumia hizo tafiti za uongo kuleta maendeleo inashindikana
 
Believe you me, Benson Bana ni disgrace kwa chuo kikuu - UDSM! Binafsi sishangai kwa chuo hiki kutoa baadhi ya wanafunzi wenye uwezo mdogo wa kushindana katika soko kama chuo kina waalimu aina ya Benson Bana.....Na kwa uwazi kabisa nasema tunahitaji kama nchi kuwa na taratibu nzuri zaidi za kapata viongozi wa kitaasisi, wanasiasa nk...tabia tunayoiona kwa huyu anayedaiwa kuwa ni mhadhiiri mwandamizi ni juhudi zake kujipendekeza ili aonekane na watawala na hatimaye kupewe cheo au madaraka...

Nasema ni taratibu mibaya kutokana na ukweli kuwa teuzi nyingi hufanyika kutokana na jinsi gani watu wanajipendekeza kwa watawala...simply put ni njaa tu.. Yuko mwingine anaitwa Magamba of late amekuwa unprofessional...Mkuu wa chuo sasa UDSM alipatikana kutokana na kjibainisha na watawala na si competence ktk leadership...the list goes on...wakuu wa wilaya, mikoa mashirika nk.
 
Huyu jamaa mara zote hatoi analysis halisi kwa jambo husika bali upotoshaji.Jiulizeni report zake za REDET,maoni yake kwa jambo lolote la kisiasa hata kama unajua hali halisi atasema tofauti.Mfano anaposema wanaoleta hoja ya kumng'oa PM ni makosa kuishinikiza serikali.Ndiyo maana magazeti kama UHURU wana kimbilia kwake sababu wanajua ataficha ukweli.Tunataka watu kama Prof.Shivji ndio watoe analysis zao manake tunajua weledi wao,lakini siyo huyu KUWADI.
ni kweli hii ni takataka iliyosomeshwa na taifa sasa kawa traitor,anasaidia kufunika kinyesi kwa bakuli,atapona siku moja ,mnafiki mkubwa sana ni takataka ya kuondoa,hawa ndio watakuwa wa kwanza kuchinjwa mambo yatakapokuwa mambo.
 
ndiyo maana waafrika tunadharauliwa maana hata msomi anatoa hoja za wasiosoma.. Kwa hiyo dr bana anataka kutuambia kuwa hata katiba yetu imekosea kuweka utaratibu wa kumuondoa pm?

wasomi kama akina dr.bana ni janga la kitaifa, wana-jf msiwe na shaka siku taifa lilikombolewa tunaanza nao. Muangalieni yuko star tv anazungumzia mambo ya muungano opotoshaji mtupu eti sera ya majimbo italeta ukabila na kudhoofisha juhudi za utaifa. Jamaa wa hovyo huyu, hatwambii mpaka sasa kwanini taifa limefika hapa tulipo na muundo huu wa serikali tulionao. Anakera kwa ufupi
 
Huyu Bana Benson naona ni sawa na malaya tu ila tofauti ni kwamba ana PHD tu ndicho anachowazidi wale malaya wengine wa Kinondoni Makaburini au Ohio street. Yuko tayari kulala na mwanaume yeyote ali mradi anapata shibe yake
 
Huyu "the so called Msomi" ana matatizo ya kifira. Hivi kweli kwa upeo wake ameona wabunge wamekurupuka kuishinikiza serikali?

Wabunge wamefika hapo baada ya kuona serikali haifanyi lolote kwa miaka nenda rudi. Labda tujikushe kidogo ili wote tupime uwezo wa huyo "msomi wenu".

Serikali ilivyopewa maazimio dhidi ya waliohusika na Richmond ilifanya nini?, maazimio ya ripoti ya Jairo yalifanyiwa nini? na wizi uliokuwa unaendelea kwa mujibu wa ripot za CAG za huko nyuma umekuwa ukifanyiwa nini? Alaf anakuja huyo jamaa anayejiita msomi eti "si vizuri wabunge kuishinikiza serikali?" huyu si mzima.

Maendeleo yetu yatakuja pale waTz tutakapotambua kuwa watu wa hivi si wasomi, na mbaya zaidi utasikia watu wenye upeo wa hivi wanapewa vitengo muhimu waviendeshe. Alafu tuseme kuna kupata maendeleo!!!!!!!!!!
 
Huyu jamaa mara zote hatoi analysis halisi kwa jambo husika bali upotoshaji.Jiulizeni report zake za REDET,maoni yake kwa jambo lolote la kisiasa hata kama unajua hali halisi atasema tofauti.Mfano anaposema wanaoleta hoja ya kumng'oa PM ni makosa kuishinikiza serikali.Ndiyo maana magazeti kama UHURU wana kimbilia kwake sababu wanajua ataficha ukweli.Tunataka watu kama Prof.Shivji ndio watoe analysis zao manake tunajua weledi wao,lakini siyo huyu KUWADI.
Nashauri Bana apimwe na akili, nahisi hazimtoshi.
 
hivi hakuna wa kumpa dawa hapa JF kwa kuanika uozo alioufanya UDSM? nagalia kina Rwakatare, alipopata dawa ya JF kumulika kaufisani kake sasa katulia tuliii.. mliopo UDSM, wekeni dataz za huyu mgosi...ifike wakati ajione kuwa nae si bora na kuwa ni domo kaya tu
 
Toeni comments zenye logic si lugha kali ya matusi vile vile msomi siku zote lazima ukubali mitazamo tofauti hata kama haiwafurashi wote''(Prof. Shivji - Kigoda cha mwalimu
 
Back
Top Bottom