Mtoto wa Rashid Kawawa na mbunge wa CCM Zainab Kawawa amelia machozi katika kikao cha wabunge wa CCM na kusema hii siyo CCM ya baba yake aliyoijua na kwamba hii ni CCM inayoelekea kuzimu kwa...
leoo mjini morogoro katika ukumbi wa Forest Hill secondary kulikuwa na kongamano la vijana wanachuo vyuo vikuu wakijadili mstakabali wa vijana katika miaka hamsini ya uhuru na muungano katika...
Jamani wanajukwaa kama tujuavyo kesho ndo hukumu ya kesi ya uchaguzi inayomkabili kamanda Lissu, napenda wanajukwaa walio karibu watujuze hakuna tetesi zilizovuja kama ilivyo kwa Lema?
Tangu aingie madarakani jk ameshimdwa kuongoza nchi kwa sababu:
1.watu anaowateua wote ni washikaji hivo kila waziri na wakurugenzi wanafanya wanavotaka bila kumuogopa.
2.Amekuwa kama mzazi...
Kuna taarifa takribani kila wiki za ama wanachama au viongozi wa CCM kuhamia Chadema. Hadi sasa imechukuliwa kwamba ni jambo jema. Wengi wanalihisisha na kazi ya "Mungu"
Nilitarajia kwa kasi hiyo...
Hivi jamani wana bodi huyu mwakyembe anaposema barabara ijengwe haraka na tanroads huko Arusha kuelekea jengo la EAst Africa ili kulinda hadhi ya Taifa, huo ufisadi mwingine hawaioni pia...
September 1, 1993.
The growing popularity of the Chairman of the Democratic Party, has been giving cause for concern to people within and outside Tanzania. German TV jounalist Iris Karlovits...
Pamoja na kuwala wananchi kwa ongezeko la bili na kukusanya bili na madeni yake na kuanzisha mifumo ya lipa kabla hujatumia TANESCO LIKO HOI.
Sasa hakuna mgao ila UMEME NI KUKATIKA BILA LATIBA...
Posted on April 26, 2012 by zanzibaryetu
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo Aprili 26...
Wadau
Katika kipindi cha week moja tumekuwa katika msukosuko wa kuwasema au kuwataja mawaziri ambao wanashtumiwa kutumia madaraka yao vibaya kwa kukwapua mali za nchi yetu. Haya yamekuwa...
Kesho tarehe 27 Aprili kesi ya kupinga ushindi wa Mnyika katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 inaendelea. Najiandaa kuwepo niwajulishe kitakachotokea.
Serayamajimbo
Ni zaidi ya nusu karne tokea mwaka 1960 uitwe mwaka wa Afrika.
Katika kipindi hiki Afrika imeshuhudia ustawi wa kujivunia lakini pia imelia na kusaga meno kwa udhalimu na maangazi makubwa...
Source Jambo Leo aka magamba
Linadai kuwa alikuwa anangojea sherehe za muungano na wapo watakao ondoka na wapo watakao baki.
Mie nadhani kaona sio upepo tena ni dhoruba inakuja ni mara...
Tangu tusikie kuwa alianguka akiwa katika shuguli za bunge Dodoma na kukimbizwa hospitali hakuna habari zinazomhusu! Je kapelekwa India au keshapona anachapa kazi?? mwenye habari zake atujuze...
Nini kinachosababisha mitafaruku ndani ya Muungano mara kwa mara? Kama Wazanzibari hawapendelei mfumo wa serikali moja kama njia ya kumaliza mitafaruku kwa hofu ya kumezwa, nini kifanyike...
Wataalamu wa menejimenti ,utawala na uongozi wamebainisha wazi kuwa uongozi ni namana unavyoweza kuwatumia watu kufikia malengo kwa ufanisi
Ni jambo la kushangaza kuwa kwa hapa Tazzania serikali...
WENYEVITI wa mitaa ya Ilemi na Ilolo Kati, Wilaya ya Mbeya Mjini wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wamejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Wanasiasa hao Ngamba Ngamba wa Ilolo Kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.