Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huwa ninajiuliza kila siku , kama Kikwete amepewa ripoti ya CAG iliyo chafu namna ile, madudu yanayoendelea kila kona ya nchi hii, kashfa za bandari , ATC, mawaziri wezi, rushwa, halmashauri...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Katika hatua nyingine, Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe, ameapa kuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya kutetea Watanzania wanyonge na kwamba haogopi vitisho uchwara vinavyotolewa na baadhi ya watu...
11 Reactions
80 Replies
8K Views
Nimemsikiliza kwa makini sana waziri kivuli wa wizara ya katiba na sheria Mh. Tundu Lissu. Nilisikitishwa sana na kauli ya Lissu kwamba Zanzibar iamue ni aina gani ya muungano wanataka endapo...
0 Reactions
170 Replies
14K Views
Jamani jana nimeshangaa mpaka nkapata kwikwi!kulikoni raisi kutokusema kitu kwene maadhimisho ya arubaini samsing ya muungwano!?ndio hivyo au?
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Karibuni ndugu zangu tusheherekee miaka 48 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam
3 Reactions
148 Replies
11K Views
Written by administrator // 26/04/2012 // Habari // 1 Comment 23/04/2012 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu Zanzibar YAH: UDHALILISHAJI WANAOFANYIWA WANANCHI KWA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hivi karibuni tulisikia Riziki ana malory kadhaa, na zaidi ya hapo tunaona na waziri wa utalii naye yumo kwenye biashara hiyo, sasa tukiwa na watu namna hiyo kweli ipo siku serikali wakapitisha...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Baada ya Ukuu wa mkoa kuwa mahsusi zaidi kwa wanajeshi, CCm wameamua kuhamishia ujuzi huo ndani ya chama? Sehemu kubwa ya uongozi wa juu umeshikiliwa na wanajeshi. Kulikoni? Au ndo maana na...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Heshima kwako mwanajf! Zipo tetesi kwamba, Ndugu Shekifu aligawa rushwa katika uchaguzi mkuu wa ubunge mwaka 2010 ili apitishwe kwenye kura za maoni za ndani ya chama mpaka uchaguzi wenyewe wa...
0 Reactions
1 Replies
930 Views
Baada ya Kikwete (kupitia Pinda) kutangaza hapo kesho kwamba hakuna waziri atakayejiuzulu kutokana na sakata linaloendelea, Mkuu huyo wa Kaya atakutana na Wazee wa Mkoa wa Dar es Sakaam siku ya...
8 Reactions
139 Replies
11K Views
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na...
4 Reactions
120 Replies
10K Views
Waziri Mkuu Mizengo Pinda anapaswa kuagiza timu ya wataalamu aliyoiunda kufuatia mkutano wake wadau wa viwanda vya nguo kufanya uchunguzi maalum kuhusu kiwanda cha nguo cha Urafiki. Mnyika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wana JF baada ya gazeti la Mwananchi la Alhamisi iliyopita kuanika kiasi cha fedha zilizoibwa na mawaziri wa JK, nilianza uchunguzi wa chini kwa chini kujua kiasi hicho kikubwa cha fedha kinaweza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimefuatilia kwa makini sana sakata la mawaziri kujiuzulu bungeni na kukungundua kuwa kumbe serikali ya CCM kiboko sana! Na hili likathibitishwa na msomi ninaye mkubali Dr. Bana ambae huwa...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Ni wajibu wa kila mtanzania kuhoji na kutaka kujua mstakabali wa rasilimali za taifa lao.Katika kufuatilia hayo napata taabu kujua ni nini nia yetu hasa katika hili. 1.TATIZO NI UWAZIRI AU...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hali inatisha, kama watanzania wataendelea kubeba mzigo huu ambao haupungui uzito bali kuongezeka. Jamaa wanazidi kuiba na kuchukua CHAO MAPEMA tunaelekea wapi ikiwa hata wasiofikirika wanafanya...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Katiba ni sheria mama hivyo huwezi kutumia sheria za kawaida zinazopitishwa na wabunge kwa maana ya simple majority ya wabunge waliokamilisha koram ya siku hiyo ili kurekebisha sheria ambayo...
13 Reactions
44 Replies
4K Views
Kundi la wananchi wa Zanzibar wamekusanyika leo nje ya ukumbi wa baraza la wawakilishi kudai hoja yao ya kutaka iitishwe kura ya maoni juu ya muungano ijadiliwe na baraza hilo. Wananchi hao...
5 Reactions
238 Replies
20K Views
  • Closed
KESI inayomkabili mbunge wa Singida mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu, iliyofunguliwa mjini Singida kupinga ushindi uliomweka madarakani, itatolewa leo ijumaa (Aprili 27, mwaka huu)...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom