Sherehe za miaka 48 ya Muungano 2012

Kauli mbiu.

Shiriki kikamilifu katika sensa na mchakato wa katiba mpya!
 
Waziri mkuu asiye na papara,
Mizengo Pinda ndio amewasili na kushangiliwa sana. Ameongozana na mkewe mama Tunu!
 
Iko wapi Tanganyika yetu? Twaililia Tanganyika yetu kwa vile wao wana Z'bar yao, na hatuko kwenye jukwaa sawa. Haya mazingaumbwe ya ccm ya 1+1=1 hatutaki.
 
Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein ndio ameingia.
 
Jamani, nipo naangalia tv yangu ya analogy. Sijamuona mhe. Edward Lowasa. Je yupo wapi? Au amekaa sehemu gani?
 
Makamu wa rais wa jamhuri ya Muungano wa TZ Dr Bilal ndio anaingia..
Kiprotokali huyu ni zaidi ya Rais wa Zanzibar! Dah!!
 
muungano hauna faida as before, i think it is the time to let it go
 
Time and resources wastage!
3654840699_56bdf09254.jpg
 
Back
Top Bottom