Ati jana ilikuaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ati jana ilikuaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wanyemi, Apr 27, 2012.

 1. W

  Wanyemi New Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani jana nimeshangaa mpaka nkapata kwikwi!kulikoni raisi kutokusema kitu kwene maadhimisho ya arubaini samsing ya muungwano!?ndio hivyo au?
   
Loading...