Mali Asili na Utalii

Mali Asili na Utalii

NCHI YANGU

New Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
3
Reaction score
2
Ni wajibu wa kila mtanzania kuhoji na kutaka kujua mstakabali wa rasilimali za taifa lao.Katika kufuatilia hayo napata taabu kujua ni nini nia yetu hasa katika hili.
1.TATIZO NI UWAZIRI AU UBADHIRIFU?

2.TATIZO NI UTAJIRI WA MTU AU NI JINSI ALIVYOUPATA?
 
Ndio kakutuma uje humu ndani kudadisi?
Mwambie arudishe mali zetu ebo!!
 
Tatizo ni Mkia (Uwaziri) na wala sio Kondoo. Mbona Mbuzi hawafuatwi fuatwi?
 
Waziri ajiulize mbona mie tu, kwanini wengine hawasemwi, then achukue hatua yeye ni mtu mzima
 
Hii wizara kila anaekuja anajichumia,naskia fununu kuwa ati Massele wa shinyanga mjini anapachikwa wizara hii..cjui nchi inaelekea wapi..apewe Lembeli
 
Back
Top Bottom