Pichani - Wabunge CCM waliotia sahihi rasimu ya Zito kumwajibisha Pinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pichani - Wabunge CCM waliotia sahihi rasimu ya Zito kumwajibisha Pinda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Apr 26, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Picha hisani ya Mjengwa blog
   
 2. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Watashughulikiwa hawa hadi watajuta!
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wanameremetaaaaa?
   
 4. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Wananchi wao wanajua kuwa wabunge wao wanatetea haki hivyo hata kama wataondolewa CCM wanaweza kugombea chama chochote na wakashinda....
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Wameamua kwa utashi wao kuweka itikati kando na kutetea kilichowapeleka bungeni ambao ni wananchi waliowachagua. Wabunge ambao wanatetea matumbo yao na kujikomba kwa viongozi waandamizi serikali ndio wasaliti kwa wananchi waliowachagua.
   
 6. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Waadilifu kwa wananchi wamebakia hao tu. Wengine waliobaki wapo kwa ajili ya chama cha jembe na nyundo
   
 7. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hatupashwi kuwapongeza bali wafanye zaidi ya hayo maana ndo kazi wametumwa
   
 8. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Huyu mwanamke anastahili Tuzo ya ujasiri!!!
   
 9. M

  MTK JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  A big up for these few who had the courage to stand up from the rot to be counted; they have a sense of right and wrong; history will abslove them no matter what happens to them fro now. Tunawaheshimu angalau kwa kidogo hicho walichofanya
   
 10. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hawa ndo wenye uchungu na nchi na wasio wanafiki ndani ya chama tawala. hongera yao kwa sana tu
   
 11. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni, pamoja na vitisho vyote walivyotishiwa hadi uhai wao kuuweka rehani kwa ajili ya kuunga hoja ya Zito kabwa wanastahili pongezi na kutiwa moyo kutorudi nyuma kwa ujasiri waliofanya. Lets be fare
   
 12. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hao ndo wameaga ubunge rasmi.
   
 13. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wakishughulikiwa waje M4C.
   
 14. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Nadhani wametengeneza mazingira ya kukubalika zaidi kwa umma wa wa watanzani, kwani wamejenga hoja za msingi kwa wapiga kura wao.
   
 15. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Hilo ndiyo tatizo letu wabongo............ tabia ya uoga!!!!!!!!!!!!!

  Wananchi waoga, viongozi waonga.................!! Wakitokea majasiri wacheche badala ya kuwaunga mkono na kuwapa moyo tunawatisha pia!!!
   
 16. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wanastahili sifa
   
 17. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pamoja wakuu ktk magambani kusaini huo ndiyo uzalendo.
   
 18. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Ubunge wa CCM labda.
  Wakihamia chama kingine na kugombea ubunge wala hawatahitaji kufanya kampeni.
  Kutia saini kwenye karatasi ya Zitto ni kampeni tosha ya kurudi bungeni mwaka 2015.
  Nawapongeza wote hasa huyo mbunge wa viti maalumu.
   
 19. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hawa tayari wamepita 2015 kwenye majimbo!Ila tu wagombee kupitia chama kingine sio chamagamba!Kampeni yao tumeiona natunaithamini.
   
 20. ISSA SHARAFI

  ISSA SHARAFI JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 407
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ..............Lkn naomba wafanye hvyo huku wakiwa na maamuzi yaliyocmama, yaani wasiwe vinyonga.
   
Loading...