Binafsi naweza kusema kwamba, nikiangalia kiufundi naweza kusema kuwa kama kuna sababu kubwa na ya msingi ya kuvunja baraza la mawaziri siyo shinikizo la wanasiasa, wananchi au watu wengine bali...
HIVI NI KWA NINI HAKUNA MTU ANAYEWEZA KUMCHALLENGE HUYU KILAZA JONHI MASHAKA ANMBAYE ANATUSUMBUA VICHWA??........IMETOKA KWA ISSA MICHUZI
In Tanzania today, air-tickets, school fees, hotel...
visit: www.arushamambo.com
Tunawaletea mfululizo wa hotuba muhimu za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akizungumzia Muungano, Katiba na Chama gani kinatakiwa kutawala nchi hii baada...
WanaCCM 1500 Wajivua magamba na kuvaa magwanda
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimezidi kupoteza nguvu zake sehemu mbalimbali nchini, baada ya waliokuwa viongozi na makada wake ngazi za vijiji na wilaya...
Ndugu nisaidieni kwa unadani zaidi bila ushabiki bila hila. Tufanye nini ili Serikali iwe sikivu kwa kuwaondoa mawaziri wasiojali wananchi? Je maandamo ya nguvu ya uma peke yake itatosha? au...
Kwa wanaojua jinsi waziri mkuu Mizengo Pinda anavyotumika kama nepi au tuseme zimamoto na rais Jakaya Kikwete, wanamuonea huruma. Je ni kwanini yeye hajionei huruma akaachia ngazi? Au anahitaji...
Haijarishi uko CCM, CDM,TLP,CUF nk kwa ufisadi ulio wazi nanyi mko huko ambako kibinadamu ndio mmepewa jukumu la kulinda na kitetea uhuru, haki na sheria kwa viumbe wote ktk hao nyie kiimani...
Kwa vyovyote iwavyo, ufisadi ndani ya nchi hii hautaisha wala kupungua endapo Edward Hossea na TAKUKURU yake pamoja na Eliezer Felleshi kama DPP wataendelea kuwa dhaifu katika utendaji wao...
Hivi chimbuko hasa la waziri kijana wa Utalii na Maliasili, Bwana Maige kuiba pesa za watanzania na kuwa fisadi nguli ni hayo yaliyomo kwenye hii attachment? Je, attachment hii inaonesha a tip of...
Ndugu zangu,
Hapo juu ni nyumba ya Waziri Maige na chini ni nyumba ya kabwela Mtanzania. Na Spika wa Bunge, Anne Makinda alipata kutamka, kuwa Bunge ni eneo la umasikini. Astaghafilulahi...
Serikali ya Kikwete imegawanyika, hilo halina ubishi. Inapofikia waziri anamshutumu naibu wake hapo hatuna serikali. Kikwete chukua maamuzi magumu fukuza mawaziri wote wenye kashfa. Wizara ya...
Nilitegemea CHADEMA aka M4C wangetoa tamko juu ya hali ya muungano na namna ya kwenda mbele.
Naomba waziri kivuli husika wa CHADEMA atutolee tamko ili tujue wamesimama wapi kwenye huu mradi wa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kimeitisha kikao cha dharura cha Baraza kuu la Taifa kutoa maamuzi mazito kuhusiana na kitendo cha serikali kushindwa kuwawajibisha na kuwachukulia hatua za...
Pamoja na kejeli za kila namna na matusi ambayo hatuishi kuwatukana watu wa Zanzibar lakini walau wao wamekuwa bold na kuanza kampeni kwenye kila shina ya kuupinga muungano ambao HAUKUWEPO...
They are busy opening CCM branches all over US, UK, EUROPE day in day out
They manifest themselves how hopeless, retarded and feeble minded they are even after getting the western or oveseas...
MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) uko hatarini kufilisika na kupoteza fedha za wanachama wake.
Hii inatokana na serikali kushindwa kurejesha katika mfuko huu, mabilioni ya shilingi...
Posted on April 26, 2012 by zanzibaryetu
Wananchi wakiwa katika mhadhara ulioandaliwa na taasisi za kiislamu katika harakati za kuhamasisha wananchi watoe maoni yao juu ya kuutaka au kuukataa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.