Huu ni uhaini na uchochezi wa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ni uhaini na uchochezi wa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Habarindiyohiyo, Apr 26, 2012.

 1. H

  Habarindiyohiyo JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 263
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
  ….ndiyohiyo
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Na yule aliyekuwa akitishia wabunge nae akamatwe. Na walioiba tembo na twiga.
   
 3. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Unavowaamuru polisi wawakamate unadhihirisha kuwa slaa alikuwa sahihi kuhusu polisi
   
 4. a

  afwe JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Mtoa mada hii pamoja na uhuru wa kutoa maoni, wewe ndie mchochezi na mhatarisha amani katika jamii yetu. Ni kwa nini hujaona haki na wajibu walionao viongozi wa vyama vya siasa kama CHADEMA kuelimisha jamii kwa yote yanayotokea hasa yale yanayoathiri maisha yao.
   
 5. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,126
  Trophy Points: 280
  Napendekeza ChaDeMa kifutwe maana hakina la maana lolote kwa wananchi zaidi ya maandamano ambayo yanahatarisha usalama wa nchi.
  .
  "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
   
 6. m

  matangarara Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na TBS waliokulisha blueband iliyooza, reagents za kupimia virusi vya ukimwi zilizokwisha muda wake je?
  Ninyi ndio wale vibaraka wachache mnaotakiwa kufungiwa mawe shingoni na mtupwe baharini...
   
 7. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Uhaini ni ule wa chama kuanzisha kampuni hewa kuchota pesa BOT(KIGODA)kwa ajili ya kampeni.
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kelele za Zitto bungeni iliripotiwa anashinikizwa na nchi flani ya nje. Jee, na hawa? nna uhakika kuna ka mkono fulani kakutoka nje, lakini nnwahakikishia Tanzania ni zaidi ya wanavyoiona ngoja wataumbuliwa baada ya muda si mrefu. Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka.

  Walitulizana lakini naona sasa wameshajisahau na wanaanza tena siasa zao chafu za uvunjifu wa amani. Safari hii ndio itakuwa mwisho wao daima.
   
 9. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  guy what do u use when thinking........

  Hivi kwann huguswi na maisha anayoishi mtanzania na jinsi rasilimali za nchi zinavyotafunwa na hii serikali mfu.....kwann wahusika wa huu ubadhirifu wasiwe ndo wahaini wakubwa? unakuja na umagamba wako hapa..........................

  .....SHINDWA PEPO MCHAFU....SHINDWA KWA JINA LA YESU....NAKUAMURU PEPO MTOKE HUYU.....
   
 10. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Na yule aliyesema mawaziri kushinikizwa na Bunge kujiuzulu ni upepo tu acheni utapita naye akamatwe maana ni lugha ya madharau kwetu sisi Watz na wabunge wetu
   
 11. e

  ericmarimbo Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli nimeamini wajinga bado wapo wengi, ni kweli hatuna serekali maana serekali iliyo madarakani ni ya majizi, we huoni kila kukicha maisha yanazidi kuwa magum na bado tuna rasilimali nyingi lakini wanaofaidika ni wachache, vua gamba acha kufuata mkumbo.
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwanza uanzie kusafisha nyumbani kwako kabla hujaenda kusafisha kwa jirani yako. Unadhirifu wa kutokulipa kodi kwa Slaa wa Chadema? ubadhirifu wa Mbowe kuwauzia FUSO mtumba kwa millioni 350? ubadhirifu wa Mbowe kukataa kulipa fedha za NSSF? ubadhirifu wa chadema kutumia fedha za walipa kodi kumlipa hawara, na hausigeli wa hawara perdiem za zaidi ya laki mbili kwa siku? ubadhirifu wa chadema kulipa walinzi wa kanisa?

  Ubadhirifu wa Slaa kupangisha hoteli ya kifahari kwa mtoto wa nje ya ndoa asisumbuke? ubadhirifu wa kuhongwa misaada ya jimboni na barrick gold baada ya kupiga kelele na alipohongwa hiyo misaada akakaa kimya kwa barrick, zitto.

  Fikiri!

  Hao ni bado wapinzani tu, wakipewa nchi?
   
 13. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,744
  Likes Received: 8,007
  Trophy Points: 280
  Hivi kuna uhaini mkubwa kama kumuuza TWIGA hai, ambaye ni nyara ya serikali?

  Mungu aurehemu ubongo wako na kuusamehe dhambi ya kugoma kufanya kazi na kupelekea ,masa...i kutumika kufikiri.
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Nani Mhaini kati ya anayewatetea wananchi na yule anayewaangamiza?
  Kikwete ni Mwizi je, siyo mhaini?
   
 15. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,681
  Likes Received: 870
  Trophy Points: 280
  kwenye blue hapo hao ni wahaini wa maisha
   
 16. v

  vangiling'ombe Senior Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pia Hata Mountain Dew nikinywaji hatari kwa afya. Kuthibitisha hili, kama una-ndugu Netherlands( Amsterdam) mwambie akutafutie hiki kinywaji akikipata basi mie nitakua muongo. Serikali ya huku ilipiga marufuku siku nyingi lakin Tz yetu acha watu wafe tu.

  So hapa nani ni hatari? Serikali inayoamua kuua watu wake kwa makusudi kupitia TBS au anayewaelimisha kuhusu madudu yanayofanywa na serikali.
  I am sory to mention this particular drink but there are...to mention.

  If being HONEST to your people ni Uhain na Uchochez kwa tafsiri ya mtoa mada basi kazi ipo au ametumwa.
   
 17. Mbaliche

  Mbaliche JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ni kheri kufa ukiwa unajaribu
   
 18. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Washtakiwe kwanza mawaziri wanaolindwa kwa uhujumu uchumi
   
 19. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  mbona ulioandika hapo hayana mashiko,umeyaokota wapi ? jalala lipi?.....Bila shaka wewe ni mmoja wa wale tunaowatafuta kwa ubadhirifu wa rasilimali za taifa hili ....unaishi wapi wewe ? Kama ni ostbay au masaki anza safari '''tembea nchi nzima hasa vijijini angalia tabu za wananchi ...Usiongee tu kwa vile hulipii kodi hilo domo........

  Usituletee maisha ya watu binfsi hapa ....lete issue zinazogusa taifa acha jazba na chuki binafsi,acha ushabiki wa kichama.....nakushauri acha kutumika kisiasa ni hatari sana kwako tena ungali kijana mdogo.........pia mrudie MUNGU utafanikiwa sana.....oke.
   
 20. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,744
  Likes Received: 8,007
  Trophy Points: 280
  Na ni imani yangu kuwa huyo unayemuita HAWARA wa Dr.Slaa anakuudhi kweli kweli kwani ulipenda nafasi ile apewe dada yako. Ila kwa kukusaidia tu, Josephine ni Kada wa CDM. Na hilo kama wanaCHADEMA hatuna shida nalo kwani kazi yetu anaifanya vyema. Wakati anakamatwa na kuchaniwa nguo yake Arusha na askari wa chama chenu, ule ndio hasa ulikuwa uhaini.

  Haya maneno yenye jazba yanawatoka kwa kuwa mna hofu kwamba kadiri Dr.Slaa anavyopanua mdomo jukwaani, madiwani wanahamia CDM. Vua Gamba, Vaa Gwanda.

  Na mtakonda sana mwaka huu, kamwambie JK, CCM inamfia mikononi.

  Halafu punguza mambo ya kike kike, NSSF na Mbowe nani ni mamlaka?

  Kanisa lina fedha zaidi ya chama chako, sidhani kama haya maneno hukuyatoa kwenye khanga.

  Kusema Dr.Slaa kakataa kulipa kodi ni kuzidi kuitukana serikali yako dhaifu, hii inamaanisha kila atakayekataa ataachwa asilipe au? So pathetic
   
Loading...