Watanzania wanazidi kuumia kutokana na mzigo wanaoubeba kuongezeka uzito kila siku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wanazidi kuumia kutokana na mzigo wanaoubeba kuongezeka uzito kila siku

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Anacletus, Apr 27, 2012.

 1. A

  Anacletus Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hali inatisha, kama watanzania wataendelea kubeba mzigo huu ambao haupungui uzito bali kuongezeka. Jamaa wanazidi kuiba na kuchukua CHAO MAPEMA tunaelekea wapi ikiwa hata wasiofikirika wanafanya hivyo yaani na wao wanaiba hii meli inayobeba mzigo unaongezeka mwishoni itadumbukia baharini kwa kuzidiwa na mzigo. Jawabu ni Serikali kuiunda upya kwa kuwaondoa wazoefu wa wizi au bila kuwepo wazoefu wa wizi. Ninashaka kwa sababu Katiba hii inamapengo mengi,na bado tunaendelea nayo mpaka mabadiliko yafanyike meli hii itakuwa imeelemewa na mzigo tusishangae ikiwa itazama mapema. ninaogopa sana!!!!!!!!!
   
Loading...